Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 480
Huyu ni waziri wa aina yake sana,hana utaratibu wa kufanya utafiti yeye anakurupuka tu.Mfano ni suala la kusitisha mkataba wa Kampuni ya Majembe.Alifanya utafiti kiasi gani?mbona watz wengi hapa Bongo walikuwa wakiwakubali Majembe na usafiri ulikuwa umenza kidogo kuwa na hadhi hapa mjini?Sasa katurudisha hukohuko.Rubbish.
Ndugu zangu tusisahau kwamba hawa mawaziri wanatokana na wabunge wa ccm, ambao majority yao wameshapoteza umakini wao kwa kuweka chama mbele badala ya responsibilities zao.
Yeye badala ya kufanya research anaropoka ili? asikike kwamba amekanusha?
Halafu hawa ccm wana matatizo sana, wanadhanai kuwa kiongozi ni kukanusha kila kitu.
Wanapewa mamlaka ya kuitendaji wakini wanaendelea ku act kama wanasiasa majukwaani.