Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 687
Anaweza Nundu asiwe sawa kwa alichosema kwani ni maoni yake tu, lakini kwa wale wanaoshangaa inaonekana mpaka sasa wanashindwa kuelewa nini tofauti kati ya reliable sources na ambazo sio reliable. Kwa mfano hiyo wikileakes je ni reliable sourse, na kama jawabu ndio kwanini Mr asanje akamatwe. Wacheni kukurupuka nivyema kuyaelewa mambo kwanza baadae ndio unaweza kutoa mawazo yako na mawazo yako sio lazima yakubalike. Wikileakes ni nani? Wabongo amkeni
Mategemeo yangu makubwa yalikua kwamba utathibitisha credibilty ya wikileakes kama reliable source na badala yake umefungua mjadala mwingine kua mimi na mheshimiwa nundu we share a lot in common, so what? Nothing to do with central arguments.
Huyo mtu amesoma hapo bongo na nje huenda akawa anawafahamu wazungu kuliko unavyo wafahamu,. Unawaona wazungu wa maana sana wakati tokea vita kuu ya pili ya dunia 1945 mpaka leo sio Tanzania tu bali Africa nzima inasuffer. Baadae unaona kila linalosemwa na wazungu kua ni kweli. Tabu tulionayo wabongo ni kua hatupendi mtu ambae yuko serious tumeshazoea ubabaishaji.
The gay is strong and he knows what he is doing. Angalia qualification zake ndio utamjua ni nani au kwa sababu anaitwa omari ulitaka mpaka aitwe kinyanjui ndio ungejua ni mchapakazi. Ni vema akapewa taimu ili aparsue plan zake baadae tutamjua ni nani
Muheshimiwa M. Mwanakijiji, nimekuwa nafuatilia sana threads zako nyingi, na kwa kweli nakuvulia kofia kwa mchango wako murua na usiopendelea upande wowote. Hivyo basi nategemea mambo mazito kutoka kwako kuhusu hili suala la ATC na Wealeaks. Hapa nilipo bado ni J'TATU, kwa hiyo bado nasubiri makombora yako kuhusu kauli ya Waziri Nundu na hii SAGA ya ATC.
Taarifa nilizonazo za muheshimiwa Nundu ni kwamba, mpaka Nov. 2010 alikuwa President wa ICAO (International Civil Aviation Organization) shirika ambalo ni kitengo cha UN katika masuala ya usafiri wa Anga.
Kwa mujibu wa WIKIPEDIA, ICAO is a specialized agency of the United Nations, codifies the principles and techniques of international air navigation and fosters the planning and development of international air transport to ensure safe and orderly growth.
Hivyo basi sijui kati ya muheshimiwa O. Nundu na Wikileaks ni nani anasema ukweli. Lakini yote haya tunakuachia wewe mkuu.
What is your understanding of the terms:
1. Wikileaks
2. US diplomatic cables
Why do you think Wikileaks is not a reliable source?