Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,086
- 7,093
Bado yuko hai?Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
TunakumbukaTulisoma na mwanae Advance, ss alikuwa akivaa nguo yeyote anasema nimenunua Mariedo.
Wale wahenga mnakumbuka yale maduka ya Mariedo eti.
Sasa watu nao wanaenda kununua km ile huko mjini basi anakasirika kweli na vijembe vinaanza na mwisho anaita polisi unabebwa kwenye kigofu.
Kwani wewe kazi yako ilikuwa ipi?Bado yuko hai?
weka hapa taarifa kamili tujisomee.....Ukatili wote Ila Beki tatu alimnyoosha sana huyu Mzee kwenye ile issue ya matunzo ya Mtoto . Sijui kesi iliishaje?
Yuko sawa sometimes ukatili unasaidia lakini nadhani anamaanisha kuwa strict no nonsense. Kwasababu mbogo akikuzoea anakupanda hadi mabegani.Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
Mzee alikubali MatokeoUkatili wote Ila Beki tatu alimnyoosha sana huyu Mzee kwenye ile issue ya matunzo ya Mtoto . Sijui kesi iliishaje?
Anakaribia kufaBado yuko hai?
Mnamchekea huyo mpumbavu asiye na maana......Eti katili sana, unaua watu wasio na hatia, unapiga watu, unaumiza na unawatia vilema kwa sababu za kisiasa. Kwani nchi yetu unadhani ni ya CCM pekee yake? Pumbavu sana.Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
Imemsaidia nini ukatili!Nae ugonjwa unamfanyia ukatili Kweli!Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast