olympiki na miaka 50 ya uhuru wa tz bara!

olympiki na miaka 50 ya uhuru wa tz bara!

suleym

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,961
Reaction score
1,211
Hakika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya olympiki zimefana, waingereza wanaitendea haki historia ya nch yao wanaonesha namna yalivoanza mapinduz ya viwanda na mambo mengi tu.
mambo ya km haya yalipaswa yafanyike kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru badala ya kutuletea wanajeshi na mizinga. tulitakiwa tujikumbushe tumetoka wapi na tuko wapi.
 
Back
Top Bottom