BAYI ALIBEBA NA MAMA WATOTO KABISA
Wacha umbeya wewe. Bayi ana hela zake mwenyewe na kama anataka kusafirisha familia yake kwenda Uingereza ana huo uwezo. Hana shida navijisenti vya serikali vya kupeleka wanariadha London.
Mkuu OMEGA,
Wewe ndo umenena, kutembea hapo ni sawa kabisa, wapo watanzania wanaweza kutembea mwendo mrefu sana! tatizo huku bana dah nimeshindwa kuongea ngoja niishie hapa!
Je umemwona mkenya mmoja anaitwa Rudisha amevunja rekodi ya dunia ya 800m, yeye alijitengenezea uwanja wake wa mazoezi porini, akafanya mazoezi na kufanikiwa kurudi 'umasaini' na dhahabu na rekodi mpya ya dunia.
Hakuna kujitetea ni uzembe wetu huo.