Olympic petrol

Umeuliza swali la kipumbavu sana. Huyo ndugu yako awe makini sana na ndugu mpuuzi kama wewe vinginevyo kwa asili ya hiyo kazi yake anaweza jikuta nyuma ya nondo.
Sio ndugu yake huyu ni dalali shtuka mjini hapa Dotto ooho
 
Naomba kufahamu maslahi yake yakoje kwa wafanyakazi
KUna ndugu yangu kapata kazi
Asante.
Nmekuelewa japo mshauri aulize maana sio kosa kuuliza mshahara wako haezi kufkuzwa kazi akiuliza wanataka kumlipa sh ngapi?
Ila najiuliza tu , hawakumuuliza salary expectations? Pia hawajampa barua ya offer ili asaini ?? Anyway bongo tunanyonyana sana maana kuna kazi nmeona inatangazwa Facebook mtu awe na diploma ya umeme (ambayo ada ni zaidi ya milion 5 kwa miaka 3) lakini uko Facebook mshahara wanasema watampa laki Moja na nusu kazi ya kuuza vifaa vya umeme.
It's so
 
Kuna watu wanatumia vibaya tatizo la ajira kunyanyasa waru ndo maana hata biashara nyingi hazikui na zingine hufa. Kuna mtu ana shule yake yenye miaka 16 sasa ila haikui kwa sababu ya huo upuuzi wa kutaka kulipa waalimu competent kwa hela ya karanga.
 
Back
Top Bottom