Msaada: Masharti ya Mikataba mbalimbali ya ajira

Naomba kufahamu namna mbalimbali za mikataba ya ajira, namna ya kutoa taarifa kwa kuacha kazi au kuachishwa kazi pamoja na taratibu za kufuata kwa mambo yote hayo ili mtu apate haki yake.
Mbona kama hueleweki swali lako....notisi kuacha kazi ni siku 30....ila kwa dharula masaa24 utalipa mshahara mwezi huo....( sio nzuri sana)...kuachishwa unasibiri barua kuachishwa na sababu....baada kuongea HR utapewa narua na sign kukubali....copy unaacha....then hand over
 
Back
Top Bottom