Mouth Beibe
New Member
- Jan 9, 2012
- 1
- 0
muwe mnapima kwanza kina cha maji ndio mnajirusha...mwanaume kakutokea, kakupiga fix na vijihela mbuzi vyake, unaingia gia fasta - sasa unategemea nini? halafu, si kuna condon za kike, mbona hamzivai jamaniiiii kupunguza hizo incidences?

Hizo condom watazivalia wapi na wakati wengine huwa wanategesha wapate mimba ili waolewe matokeo yake ndio hayo
Kumekuwa na kijitabia kichafu tena cha siku nyingi kwa baadhi ya wanaume,kijitabia hiki ni cha kuwapa mimba mabinti na kuwakataa bila sababu za msingi,kwa mfano mtu mwingine anaweza kusema eti ana mchumba mwingine anaetaka kumuoa na siyo huyo mwenye ujauzito wake!!!!loooh hakuna neno linalouma kwetu wanawake kama hilo jamani, inaonyesha dhahiri hunithamini, hunipendi na wazi kabisa kuwa ulikuwa unanichezea...anyway malipo duniani,usipolipwa wewe basi utazaa mwanao na atafanyiwa hivyo,muwe wastaarabu jamani mkikutana na situation kama hii,majibu mengine yanaonyesha wazi kuwa ni jinsi gani huna busara na hekima wewe mwanaume usiye na hata tone la aibu, mimi ukinifanyia hivi naapa sitakusamehe daima na jua kumbuka na faham ya kuwa malipo ni hapa hapa duniani
Yaani! Ingekuwa ni miaka ile ya 19 kweusi mtu ataeleweka.Mwanamke au msichana wa miaka hii yenye UKIMWI na magonjwa mengine, mtu unapataje mimba tu? Mwanamke mwenye kujiheshimu hatajiachia kupata mimba ovyo ovyo....Ukiachwa au kukataliwa mimba ni halali yako.Hata ukinuna, haikusaidii maana jamaa anaangaza mbele na dua la kuku halimpati mwewe.Mimi ni mwanamke lakini jwa hili wala sioni huruma.Labda kama ni msichana mdogo sana kama wale JK aliosema wana kiherehere, au kama umebakwa ukapata mimba.
lakini kwa nini apate mimba?,kwani alibakwa siku mimba inaingia?
wanawake wana ile kaulimbiu yao maarufu inayosema kwamba wakiwezeshwa wanaweza... sasa hivi wamekuwa empowered kwa kuwa na condom zao ambazo wanaweza kuzitumia anytime wakitaka... so what the hell is the problem mpaka dada alaumu kwamba kapewa mimba halafu akakimbiwa?
Kumekuwa na kijitabia kichafu tena cha siku nyingi kwa baadhi ya wanaume,kijitabia hiki ni cha kuwapa mimba mabinti na kuwakataa bila sababu za msingi,kwa mfano mtu mwingine anaweza kusema eti ana mchumba mwingine anaetaka kumuoa na siyo huyo mwenye ujauzito wake!!!!loooh hakuna neno linalouma kwetu wanawake kama hilo jamani, inaonyesha dhahiri hunithamini, hunipendi na wazi kabisa kuwa ulikuwa unanichezea...anyway malipo duniani,usipolipwa wewe basi utazaa mwanao na atafanyiwa hivyo,muwe wastaarabu jamani mkikutana na situation kama hii,majibu mengine yanaonyesha wazi kuwa ni jinsi gani huna busara na hekima wewe mwanaume usiye na hata tone la aibu, mimi ukinifanyia hivi naapa sitakusamehe daima na jua kumbuka na faham ya kuwa malipo ni hapa hapa duniani
Lakini kwanini mwanaume akimbie mtoto? Hakujua kama hilo tendo laleta mimba??
Bila shaka umemkandia mdada anayekimbiwa baada ya kupata ujauzito, lakini ukimfikiria zaidi yule mtoto anaetelekezwa huruma itakujia ndugu!