CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,915
- 3,475
Wanapambania wasikose hizo trillion mbili toka kwa wafadhili.CCM wanapowatetea kina Mdee wasipewe adhabu na chama chao..think twice!!
[emoji23]Mtasubiri sana. Covid-19 anatokomezwa leo kabla ya saa 10.
Mkuu, hii siyo utani aisee, msimuone Mdee ikadhaniwa ati Yuko peke yake, CHADEMA itafumka Leo kama bomu la atomic aiseeNguvu iliyo nyuma ya sakata hili ni CCM na serikali yake. Ndiyo maana wengi wanaowashabikia wasaliti hawa ni viongozi na wanachama wa CCM. No more, no less.
Mkuu, saluti kwako,Hiki ni chama chenye roho 7 mkuu
Mkuu nashukuru,ila niwe wazi mkuu ,ni takribani miaka arobain na ushehe, sikuwai kuwa na chama ,ila ndani ya siku kumi na nne ,baada ya kukisoma chama hichi, pitia katiba, nyendo za viongonzi wakuu, wanachama sehem tofauti ya nchi hii , nikawa na maamuzi ya kina kujiunga na chama hichi,sio leo nimeandika kabisa hum siku, 3 au tano zilizo pita ,kwamba naenda kujiunga na chama hichi, na sitojiunga kwa kutafuta cheo chochote uwe Ubunge, Udiwani, au nafasi yoyote labda Mungu akinipa maono mengine, ila nitajiunga na mamilion ya chama hichi tafuta haki,Mkuu, saluti kwako,
Sjui Kwa nini Mimi interejensia yangu inaona kabisa kwamba, kama Hekima haitatumika, leo Chadema itafyatuka kama bomu la atomic aisee
Mbowe huwa anafukuza au kuwazulia skendo wote wanaotaka kuwania Uenyekiti wa chama sembuse kujadili kumfukuza!! Atawaroga woteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama chama kinaongozwa na Katiba na Sheria hakuna jambo gumu hapo, hivi unajua hata itokee Mbowe kafukuzwa kwa kosa hilo bado CHADEMA itapata nguvu kuliko kubaki na viti maalum.
Sahihi ni PhDPHD ndio nini?
Andika Phd
Somo hili limeletwa kwenu kwa udhamini wa timu ya Ushindi ya wabunge 19 wenyewe wakijiita Covid 19
Hii comment yako itafutwa tu kwa sababu ni nyundo imegongwa kichwani. Huku kinachotakiwa na kuamini kura feki zilikuweko ukihoji kwa mshiko kama huo wewe ni Lumumba na huku utakuwa black listedMkuu, unajua hili la Kura feki linafikirisha Sana na lina maswali mengi majibu yake ni kidogo ukilinganisha na maswali,
Hivi Ilikuwaje Kura feki zikamatwe na wa CHADEMA halafu ni kituo kipi na Nani aliyekamatwa nazo hata hajulikani
Kwa nini zinskamatwa na kuchomwa Moto papo hapo badala ya kuwa zifanyike ushahidi wa kupeleka Mbele ya pilato na aliyekutwa nazo wote wakaenda kujibu,mbona ilifanyika hivyo mkuu
Kosa kubwa wafanyalo ,"washindwa" wengi wasiojiamini ni kudhani kuwa kila mtu ni adui; sasa wanakuaga wanaendesha harakati za multiple wars, mpaka wanajifait na wao wenyewe.Pamoja na kuwa na PhD amesahau nukta haifutwi kwa kukoreza wino[emoji1787]
Wanasemaga eti siasa ni mbinu ya kutafuta ushindi wa ushawishi wakati wote; kwa mtu aliyekuwa anajua lazima tu vyovyote kushindwa ni jambo lisiloepukika, Plan B ndiyo hiyo --- "Makamanda! Hii ngoma mbichi na nzito; tutaibuka na hoja gani mbele ya umma baada ya Oktoba 28???"Mkuu, unajua hili la Kura feki linafikirisha Sana na lina maswali mengi majibu yake ni kidogo ukilinganisha na maswali,
Hivi Ilikuwaje Kura feki zikamatwe na wa CHADEMA halafu ni kituo kipi na Nani aliyekamatwa nazo hata hajulikani
Kwa nini zinskamatwa na kuchomwa Moto papo hapo badala ya kuwa zifanyike ushahidi wa kupeleka Mbele ya pilato na aliyekutwa nazo wote wakaenda kujibu,mbona ilifanyika hivyo mkuu
Lililotarajiwa lisifanyike, ndilo limefanyika
Lililotarajiwa lifanyike, halijafanyika!!
Sasa kinachofuata ni kugawana fito!!
Unajidanganya were nguvunnyuma yao ni CCM na viranja wao.Ole wenu CHADEMA!!
Mtihani huu uliopo CHADEMA ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kiendelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasmi ikiwa hekima haitatumika kuamua mgogoro huo
Wengi wenu mnamuona Mdee,Bulaya, Matiku na wenzao walioapa bungeni juzi, Lakini aminini kwamba, kuna kundi na nguvu kubwa iliyo nyuma Yao na ndani Yao ni viongozi wandamizi chamani
Maamuzi yenye Hekima pekee ndiyo yatakayoifanya CHADEMA iendelee kuwepo!!
Swali ni Je!
Ni nani atakuwa mwamuzi katika Hilo ikiwa baadhi ya viongozi ngazi za juu kabisa nao wamo kwenye skendo hii??
Jua na mvua Bora nini??
Masikini paul sylvester...need I say more? Sijui huko CCM mnajisikiaje...bila shaka mnatunga plan B na kama kawaida na yenyewe itakuwa ya kipumbavu kama plan A.paul sylvester said:Lililotarajiwa lisifanyike, ndilo limefanyika
Lililotarajiwa lifanyike, halijafanyika!!
Sasa kinachofuata ni kugawana fito!!
Kesho ndio mgogoro mkuu rasimi unaanza na mgogoro huo ndio unaenda mpaka kwenye hitimisho la ChamaWaadhibiwe kama wamekiuka taratibu za chama!Huwezi kujiteua wakati jukumu hilo ni la Kamati kuu!
Wasipofukuzwa nahamia Chauma!
Si kila faulo inachezwa na mpinzani wako, hii imechezwa na timu yako mkuuMasikini paul sylvester...need I say more? Sijui huko CCM mnajisikiaje...bila shaka mnatunga plan B na kama kawaida na yenyewe itakuwa ya kipumbavu kama plan A.