Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

Hivi unakumbuka uongozi wa BAVICHA karibu wote uliwahi timuliwa. Viongozi zaidi ya 8, kelele kma hzi zilikuja mara ooh vijana wataisusa..... Chama kitakufa.

But miaka 8 sasa imepita na CHADEMA kimezidi kukua. So to hell na hao BAWACHA......
 
Kaondoka Slaa na bado ccm inategemea Tiss, tume ya uchaguzi nk kutangazwa washindi kwenye uchaguzi, ndio itakuwa hao wahuni?
Aiseee ile press ya Dr Slaa nilidhani CHADEMA imezikwa rasmi. Ila kwa jinsi alivyopuuzwa na ''nyomi'' la karatu alipotua Lowassa nikajua CHADEMA ni kubwa kuliko individual yeyote yule.

Nani alitishia uhai wa CHADEMA kuliko Zitto? Leo hii anaweza linganisha nguvu aliyonayo ACT na zile enzi zake za CHADEMA?

Ni hivi upinzani upo CHADEMA, ukishajitoa tu unapuuzwa kma Komu na Lwakatare.
 
Hivi unakumbuka uongozi wa BAVICHA karibu wote uliwahi timuliwa. Viongozi zaidi ya 8, kelele kma hzi zilikuja mara ooh vijana wataisusa..... Chama kitakufa.

But miaka 8 sasa imepita na CHADEMA kimezidi kukua. So to hell na hao BAWACHA......
BAVICHA kuijenga ni Rahisi tofauti na hii ya BAWACHA!!

Viongozi hao BAWACHA ni mzizi uliosehemu kubwa ya shina mkuu
 
Wawafukuze hao Covid19 19 ili CHADEMA ife Lumumba na CCM wafurahi.

Kwa wapinzani ni wapinga maendeleo
 
Upo sahihi mkuu.
Nguvu ya CDM ipo kwetu wanachama na huo msimamo wa kuwafukuza ndio msimamo wetu
 
Mimi naamini Zitto alishazika Political career yake baada ya kutoka CHADEMA.

From there hata system ilishamuignore anachukuliwa kama busy body tu.
 
Bavicha kuijenga ni Rahisi tofauti na hii ya Bawacha!!

Viongozi hao Bawacha ni mzizi uliosehemu kubwa ya shina mkuu
CHADEMA kimetapakaa nchi nzima kiufupi kila kata Tanzania bara nimekuta kuna BAWACHA yenye uongozi na sekretarieti kamili.

Mind you jana na juzi wametoa press release mikoa zaidi ya 20 wakilaani kitendo cha kina Mdee.

Sasa BAWACHA ipi itakufa? Au viongozi 8 wa BAWACHA ndio wana nguvu kuliko mamilion ya wana BAWACHA kitaifa?
 
Hakuna cha hekima hapo.
Hadi sasa hakuna updates za kikao chochote. Si kuhusu Halima ama Mbowe aliyetajwa na Halima.
 
Jua na mvua bora vyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…