Ole Sosopi hana adabu

Jeshi hilo lipo kwa ajili ya ccm sii raia
 

Toka lini mzee umekuwa na huruma or u mean crocodile tears?
 
kufa bwege wew
 
Huu ni uchochezi, unamchonganisha Ole na jeshi letu, pili unatufundisha nidhamu ya uoga!! Eti watu wasiseme UKWELI kwa kuogopa vitisho vyako!!
 
Kwa hiyo ulitaka awatukuze,kuwasifu na kuwapa zawadi?Kwa lipi hasa lenye tija?
1-Wananchi kuuliwa hovyo
2-Wananchi kupotea
3-Wananchi kutekwa
4-Wananchi kupewa vipigo vya kukaribia kufa au kufa kabisa
5-Polisi kutumika kuwasumbua/kupiga na kuweka mahabusu
6-Rushwa kuombwa hovyo kama maji ya kunywa kwa majirani(polisi)
7-Unyang'anyi wa wazi wa mali za watu
Kwa hayo machache ulitaka Sosopi awagawie ng'ombe wake?
Sina adabu weye muleta usi jamfini!?
 
Ulitaka asifie kwamba jeshi letu la polisi lina uwezo wa kulinda wananchi na mali zao?

Kuanzia miili iliyo opolewa kwenye viroba mto Ruvu, mauaji ya wanasiasa RIP Mawazo Alfonce et la, kupotea kwa Azory Gwanda hadi kupigwa risasi Tundu Lissu, polish wameshawahi kumpata mhalifu? Pathetic. Kilangila.
 
Huyu mtoto mdogo tu na mshamba tu yan hajui hata yeye anapata muda wa kuandika hicho kiupuuzi chake kwakua tu polisi wameimarish amani kwa ushirikiano na vyombo vingine vya ulinzi na usalama...ila polisi wasijali ipo siku huyu sosopi atafika tu c.r.o kupeleka mahitaji yake sasa nao wamkumbushe tu kua hatuwezi kukusaidia inabidi uende polisi wa Europe wakakusaidie
 
Mkuu mimi binafsi nilishukuru jeshi la Polisi kwa kuwadhibiti wahuni waliopo katika vyama vya upinzani. Nina hakika kabisa kama isingekuwa weledi wa jeshi letu la polisi hawa wahuni wangesumbua sana raia wema. Rejea mawe waliyokuwa wakirushiwa watu waliovaa nguo zenye nembo ya CCM..
 
we waache tu wadharau polisi,wenzao wakenya nao walikua hivi hivi..saivi adabu ipo
 
Hivi kwanini kila mpumbavu hapa nchini anapenda kujifanya mtu wa usalama au serikali? We jamaa ni mpumbavu tu na unachoongea ni takataka.....
Cc. TumaniEl,UCD, YEHODAYA, ISSIS kwa niaba ya Jamhuri ya vitisho na ubabe. Kilangila.
 

Kabisa mkuu'maanake wakibanwa kidogo na sheria breki yao ya kwanza ni EU.Ndugu zetu wa chadomo hao EU wanawasanifu tu ,msifikiri wanawapenda saana.
 
Una point nzuri saana lakini huna uwezo wa kuzileta mbele za watu. Kwanza kabisa nadhani hayo maneno yangelitoka kinywani mwa mwana ccm yeyote wa ngazi yeyote hata balozi wa nyumba kumi, wewe ungetulia kwanza halafu umchambue uuone ukweli wake. Lakini kwa kuwa tu limetolewa na mpingaji, wewe hukumlazia damu.
Wazo langu tu ni kuwa; Tulia kidogo, umchunguze huyo Sosopi uone kama kuna ukweli ndani yake au la. Hebu fikiri; Kama "Mpingaji" yeyote anataka hata kufanya besidei yake tu kitaa anahitaji kibali cha polisi asijeambiwa; "Umefanya mkutano wahadhara". Lakini mjumbe wa shina anatamka kuwa njoo kwenye mkutano wa hadhara pale uwanja wa sokoni kesho. Ukikosa utabambuliwa. Wote tunaenda na anahutubia mtu mambo ya siasa na kuwaponda hao wapingaji kwa masaa mengi tu wala hao polisi hawawazuii. Weye unaona haki hiyo?
Sosopi kawaambia, Jitathiminini. Tusi liko wapi hapo? Huyo ni Sosopi mtu sio "kajitu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…