Ole Sosopi hana adabu

Mmeambiwa ukweli ndo mjitatathmini sasa.

Hivi kuna kauli ya kuuđhi na kiburi kama ile aliyoitõa mwenyekiti wa uvccm taifa kule kigoma? Kuwa ccm ndo inaamua wapi ipeleke maendeleo na wapi hisipeleke maendeleo
 
Hujawahi kufa ndio maana unabwabwaja sana dogo waache wakupiganie kazi walionayo Chadema babaako haiwezi
 
Dah! Kwa jinsi ulivyoongea kwa hasira, ni lazima hata wewe mwenyewe utakuwa ni askari polisi. Jiwe limelenga target.
 
Nchi haindeshwi kwa vitisho. Baada ya kuwatia adabu hao viongozi wa CHADEMA ndio maendeleo yamekuja?! Unaelewa kazi ya vyama vya upinzani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe huna adabu kwa kuingilia Uhuru wa Sosopi kutia maoni yake juu utendaji wa jeshi la polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali hiii sijui ninyi watu mnataka nchi hii mbaki nyinyi tuu! Maana kila kitakacho ongelewa na upinzani nilazima mkikosoe Na kukipinga kwa kila hali, basi tafakarini hayo mnayo sikia kwa kina alafu jiulizeni yana ukweli kiasi gani ?kabla ya kutoa shutuma nyiingi.TANZANIA NI YETU IFIKE MAHALI TUIJENGE NCHI KWA UMOJA SII KWA CHUKI NA VISASI. Ni maoni tuu.
 
Umeongea hoja ya msingi sana, TANZANIA NI NCHI YETU SOTE HATUNA HAJA YA KUWEKEANA VISASI

Hoja za kisiasa zinajibiwa majukwaani na sivyo anavyofanya huyu Jiwe kwa "ku-pyupyu"
 
Kwaiyo unataka asiseme??

Hayo mnayo yapanda na kuyapalilia mtakuja kuyavuna siku sio nyingi
 
 
Huyu jamaa anajua kabis hana chakumjibu ndo maana amewahi kwenye personal atack
 
Upuuzi mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayepiga mashangazi ndiye ana adabu? au kichaa ndiye ana adabu?
 
Umeandika kama mbwa mkorofi, mbwa anahanjahanja kutafuta amun'gate nani
 
Mimi hapo Lumumba kuna watu wakupost kitu nakisomanakiacha kama kilivyo. Maana nikijibu nitaonekana natukana tu. Mtanzania asiyeona madhaifu ya Polisi ni mjinga wa kujitakia, hata Polisi wenyewe wanalijua hilo na pengine wanakiri hadharani au kwa kificho. Kama madhaifu hayo yangekuwa machache watu wasingesema maana udhaifu ni sehemu ya ubinadamu, lakini yanapokuwa mengi na ya kujirudiarudia yanakera na kuonekana sehemu ya utendaji.
Tuchukulie tu tukio la kijana Richard aliyeuawa Arusha mbele ya kaka yake tena kituoni. Kwa akili ya kawaida kama Richard angekuwa ndugu wa mleta mada tiaigemuona akileta Upuuzi huu hapa JF. Tukio la Arusha ni mwendelezo wa kukosa weledi ambako sasa kumeanza kuzoeleka nchini kukitendwa na Jeshi la Polisi. Yaani tunavyojua mtu anatakiwa kujifunza kwa makosa ya wengine na ikishimdikana ajifunze kwa makosa yake mwenyewe ili asiyarudie. Lakini kwa Polisi wetu hilo halipo, kosa wanalifanya Leo Mtwara, kesho Arusha, keshokutwa Mbeya, Mtondo utalisikia Mara, mtondogoo Kigomaaa! Unajiuliza; matukio yote haya ni bahati mbaya au ni mashindano. Bibi yangu aliwahi kuniambia, kupiga miayo kunaambukiza, na kweli mkiwa kundi akapiga miayo mmoja wenu basi angalau wawili zaidi watamfuata. Sasa sijui Polisi nao wanafuata formula hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dereva wa Lori ameshapotea njia. Ndio maana sasa hivi kwenye Lori kila mmoja anaibuka na lake kujaribu kama Dereva atakumbuka njia.
Jeshi letu la Polisi limekuwa lkiwajibika zaidi kwa Wanasiasa kuliko kwa Raia na mali zao.
Kwa upande mwingine hata ukifuatilia ziara ya Waziri wa Mambo ya Ndani, kuna matukio aliyokutana nayo haamini kuwa yametendeka Tanz na yametendwa na Jeshi la Polisi. Tatizo ni kwamba hata yeye ni Mwanasiasa kwa namna moja au nyingine alikuwa akifurahishwa yeye ktk matendo yale.
 
Wewe ni popoma,kama ungekuwa sawa Kichwan ungefanya katafiti kadogo
kabla hujaanza kumjibu
Hujapata shida ukakutana na Police wa Tz.
Mimi naweza sema Tz tuna jeshi la polisi Bovu baadhi yao,ila tuna jeshi la wananchi zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…