Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,826
- 1,883
Waswahili wa Pemba hujuana kwa vilemba. Hayo mimi hayanihusu, kama unakiamini chama basi huo unaweza kuwa mchango wa hiari, si mlishinda sasa zaidi ya hapo unahitaji nini?
Itaongozwa na wadhulumaji.Akili nyingine ni laana tupu.Wewe kikaragosi wa ufipa kaa ukijua hamna nchi ya kuongozwa na wanafiki chadema hata miaka 1000 ijayo
Kwa hiyo CCM Ndiye adui anayemsakama Shigongo au shigongo Ndiye adui anayemsakama ccm??Ukiona maadui wanaungana kukusakama basi ujue umewakwaza wote. Unastahili kushambuliwa
Laana ya rambirambi ya Bukoba inakutafuna.Wewe kikaragosi wa ufipa kaa ukijua hamna nchi ya kuongozwa na wanafiki chadema hata miaka 1000 ijayo
Mpeni change ya rambirambi ya Bukoba iliyobaki baada ya kuwapa wabunge wa ccm rushwa ya million 10 kwa kila mmoja.Imeshakula kwake hiyo,
chama hakina hela
FafanuaUkiona maadui wanaungana kukusakama basi ujue umewakwaza wote. Unastahili kushambuliwa
FafanuaShigongo ni aina ya watu wanaoshi kwa kuvizia fursa, siyo kwa wale wa kuzitafuta fursa.