Ole Sendeka: Kama kweli Shigongo anaidai CCM afike ofisini, sio kulalamika mitandaoni

Waswahili wa Pemba hujuana kwa vilemba. Hayo mimi hayanihusu, kama unakiamini chama basi huo unaweza kuwa mchango wa hiari, si mlishinda sasa zaidi ya hapo unahitaji nini?
 
Watu walishaahidi kuondoa UJINGA MARADHI na UMASKINI miaka 50 iliyopita na hawajawahi kutekeleza, washindwe kumwahidi Shingongo?? ni wajuzi wa miaka mingi wa kutoa ahadi hewa.. Shingongo ameshaingia mkenge, atulie tu.
 
Back
Top Bottom