Ole Sendeka atoa ushauri kwa UKAWA!!

si wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.
Wanakuharibia pose unaposhangilia kila kitu hata kukosa sukari
 
Reactions: mmh
Awaache waendelee kususa 2020 sio mbali tutawakata tu
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sendeka ni mtu mzima katumia busara kuwashauri wenzake, siasa si ugomvi kaka
Ameshindwa kushauri sukari ya sh 1,800.00, ipatikane
 
Wamesusa kwa ajili hawaoneshwi live!
Sasa kama ni kuto onyeshwa live, si waendelee wao! Hata Yesu alisema watu hawawashi taa na kuificha chini bali uiweka ktk kiambata ili imulike kila kona.
 
si wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.
Ungejua ulichoandika, wanadai haki wewe wanasusia waliobakia wanafanya jambi gani unaloliona zuri.
 
alfu hua hawaitambui ukawa sasa wanaishauri ukawa ipi?
 
Nani kasema UKAWA sio saizi yake acha wivu hao hawana jipya na ukweli wataambiwa tu ,their resistance is very negligible to the point we assume it to be negative hence no effect it produces.
Tuwekee matokeo ya form 6 ya Huyo unaemuona kwako ni size yako
 
Ungejua ulichoandika, wanadai haki wewe wanasusia waliobakia wanafanya jambi gani unaloliona zuri.
haki gani? in broader context ya haki. waliobaki wanajenga nchi kwa vitendo sio theories tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…