Hili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada.
Hivi Ole Sendeka umeshapatana na prof. Muhongo? Mruhusu atusomee matokeo yako basi. Kwa mujibu wa prof. Muhongo nawe inafaa uitwe lile jina la wanafunzi wa udom walilopewa na jpm.
amshauri naibu spika wake ampumzike kuuza sura pale mbele awaachie hata wenyeviti wake , waone kama wapinzani hawataingia bungeni , figisu zinaendelea Sugu naye atimuliwe bungeni
si wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.
Ni wazi swala la ukawa kutokuingia bungeni linawasumbua na ndomana wakawakataza kufanya mikutano na kutokuwalipa posho, hiyo yote ni ili tu kuwabana ukawa wahudhurie vikao vya bunge akat tuli akiwa kwenye kiti. ila wamebughi men..