Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

Nali

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
1,155
Reaction score
813
Baada ya kutuhumiwa na Tundu lisu wa chadema kuwa alipokea rushwa ili kukwamisha bajeti ya wizara ya nishati na madini,Mbunge wa Simanjiro Olesendeka alikua jana jimboni kwake ktk kijiji cha Kimotorok kuhudhuria mkutano mkuu wa kijiji kilichokua kinajadili mgogoro wa ardhi na hifadhi ya Tarangire. Mara baada ya sendeka kuwasili ktk eneo hilo nusra wamasai wenzie wampige kwasababu kuu Tatu: 1.kwa kitendo cha yeye kupoke rushwa,maana wamesema hiyo ni kawaida yake kupokea na kutoa rushwa 2.kwamba;sendeka ni msaliti na kigeugeu km kinyonga na pia hana msimamo na hivyo kuudhalilisha umaasai wao na umma ya wanasimanjiro 3. Kwamba; alihusika kushirikiana na Tarangire kuhujumu eneo lao kuchukuliwa kuwa sehemu ya hifadhi huku yeye akijifanya yupo na jamii kumbe ni unafki mtupu!! Sendeka alijitahidi kuomba msamaha huku akipiga magoti na kuongea lugha ya kwao akichanganya na kiswhli lakini aliambulia matusi,kejeli na mwisho akafukuzwa! Hajulikani ametokomea wapi, labda wenye taarifa watujuze alipo maana mpk jana taarifa zinasema hali yake ilikuwa mbaya sana......
 
MKUBWA JINGA HUYO'angekataa na kuwa muadilifu angekula maisha kama, wenzake akina mwakyembe, nk
 
safi sana kama hii habari ni ya kweli.
Baada ya kufukuzwa atakua kajibanza sehemu kwa style hii
😛eep:
 
Habari hii ni ya kweli kuna mtu mie namjua alikua kwenye eneo la tukio ndio kanishtua! Yaan ni swadakta sana maana kumbe wale wamasai wa zaamani sio hawa wa sasa!!
 
jamani hizi si siasa hizi, simjui vizuri ole Sendeka siwezi kumchukulia dhamana, ila waangalie huko alikokwenda na hali yake mbaya asiwe amekwenda kujinyonga.
 
safi sana inatia asira kwa kweli kuwa ni viongozi kama hawa
 
Hapana rafiki, hii mofano unatoa haiko mzuri kabisa, kwani yeye haijaona kuwa hii wasiri ya mambo ya kuwasiliana imekuwa na ngosi kama ya ile mnyama nalukaluka juu ya mti na kula matunda?!, hapana kabisa toa mifano ya namna hii, haipendesi kabisa.
MKUBWA JINGA HUYO'angekataa na kuwa muadilifu angekula maisha kama, wenzake akina mwakyembe, nk
 
Piga jizi hilo,alidhani anaweza. Kuwatumia wamassai kama mtaji,alakini kumbe time will tell.watu wameamka bwana,hakuna mjinga sikuhizi
 
huyu sijui sendeka ni wa chama gani???
 
Hata mm cjui maana nakumbuka alikua ccm. Ucku anawapigia magoti chadema, asbh anagonga mlango wa Cuf, mchana wkt wa lunch anaenda nyumbani kwa Cheyo wa UDP na akiwa mjengoni anakuwa wa CCM! Hivyo kwakweli na mm mwenyewe sijui huyu mtu ni wa chama gani!!
 
Ndiyo alivyo huyu Sendeka ? Mie am shocked for sure
 
Hapana rafiki, hii mofano unatoa haiko mzuri kabisa, kwani yeye haijaona kuwa hii wasiri ya mambo ya kuwasiliana imekuwa na ngosi kama ya ile mnyama nalukaluka juu ya mti na kula matunda?!, hapana kabisa toa mifano ya namna hii, haipendesi kabisa.

Naumwa ila hii imenichekesha sana.
 
ukiona mtu anaongea amening'iniza mawani puani akitizama juu ya mawani ni mnafiki na mdanganyaji asiyetumainika.
 
Duniani malipo ni hapa hapa, si huyu aliyekuwa akiongea hadi povu kumtoka dhidi ya ufisadi sasa yanamkuta yeye. Anyway siasa mchezo mtamu hakika.
 
jamani hizi si siasa hizi, simjui vizuri ole Sendeka siwezi kumchukulia dhamana, ila waangalie huko alikokwenda na hali yake mbaya asiwe amekwenda kujinyonga.

mnasema ana hali mbaya kwani wamemdhuru?
 
Baada ya kutuhumiwa na Tundu lisu wa chadema kuwa alipokea rushwa ili kukwamisha bajeti ya wizara ya nishati na madini,Mbunge wa Simanjiro Olesendeka alikua jana jimboni kwake ktk kijiji cha Kimotorok kuhudhuria mkutano mkuu wa kijiji kilichokua kinajadili mgogoro wa ardhi na hifadhi ya Tarangire. Mara baada ya sendeka kuwasili ktk eneo hilo nusra wamasai wenzie wampige kwasababu kuu Tatu: 1.kwa kitendo cha yeye kupoke rushwa,maana wamesema hiyo ni kawaida yake kupokea na kutoa rushwa 2.kwamba;sendeka ni msaliti na kigeugeu km kinyonga na pia hana msimamo na hivyo kuudhalilisha umaasai wao na umma ya wanasimanjiro 3. Kwamba; alihusika kushirikiana na Tarangire kuhujumu eneo lao kuchukuliwa kuwa sehemu ya hifadhi huku yeye akijifanya yupo na jamii kumbe ni unafki mtupu!! Sendeka alijitahidi kuomba msamaha huku akipiga magoti na kuongea lugha ya kwao akichanganya na kiswhli lakini aliambulia matusi,kejeli na mwisho akafukuzwa! Hajulikani ametokomea wapi, labda wenye taarifa watujuze alipo maana mpk jana taarifa zinasema hali yake ilikuwa mbaya sana......
mdau lete source ya hii taarifa
 
huyo mzee amekosea step. Labda angetokea pande za kati ambapo bado watu wanasujudu wizi wa mfumo tawala na chama chake. Kwa alichokifanya Ole, nikudhalilisha utu na heshima yetu Wamasai. Anastahili alichokipata. Rushwa ni adui wa haki na pesa sio kila kitu katika maisha. Pia kuwa ndumilakuili ni kujisaliti mwenyewe.
 
Back
Top Bottom