Nakubaliana na wewe kabisa. Jana mimi nikajiuliza hivi TBC kuweka hewani ule ugomvi nia ni ipi hasa:confused3:!!! Hivi ni kweli maadili yanaruhusu mambo yote yawe tu hadharani? Ni swali tu! Tafadhali mtu asini:brick:, hivi vyombo vya habari huwa havipaswi kupembua na kuona umuhimu wa yale wanayoyatangaza? Hapa nia ilikuwa tuone nini? Ubabe ndani ya CCM au? Upuuzi ndani ya CCM?Natamani ningekuwa naweza ku :whip: wote pale! Pamoja na Tido. Tumegeuka yale mabunge ya ngumi mkononi! Itabidi kila aendae kwenye mkutano awe na pepper spray yake just in case mtu anakuletea fujo
Mimi nimeona hiyo habari TBC1. Kasheshe limeanza baada ya mwananchi mmoja kupingana na RC kuhusu mgawanyo wa vitongoji. Ndipo RC akatoa amri atolewe nje ya mkutano. Sendeka alianza kumtetea kwa sauti ya chini ila baada ya hapo ndio wakaanza kupandishiana na RC. Kweli Sendeka alionekana anagonga meza lakini hata RC alikuwa anatembeza vitisho. Ndipo wakubwa wa wawili wa polisi walipofika kwenye meza kuu na kuanza kuongea na Sendeka ambaye alisikika akisema kuwa ameamua kunyamaza. Na hapo hapo RC akaendelea kurusha maneno mazito mazito ya vitisho na kwamba anaweza kumsweka ndani (detention). Siwezi kusema nani kamkosea mwenzake ila kitendo walichofanya ni cha utovu wa nidhamu kwani hakukuwa na haja ya kuzusha kasheshe kama hilo kwenye mkutano. Hata hivyo nadhani hawa wakubwa wanatakiwa kupunguza vitisho vya matumizi ya dola.
Boss wangu DN, mimi ni mhandisi so bear with me kwenye some of my lines of argument. Nadhani ili tuweze kupata results nchi hii yaonekana inabidi kuwa na watu ambao wako mechanical kidogo kwa sababu there's nothing that makes sense otherwise kwa these political animals in our midst, and that includes "kiranja" wetu mkuu. Mathalani, mgomo ni mechanical approach ambayo if pulled off by TUCTA am sure tungeona results. Nakumbuka migomo ya enzi hizo late 80's pale UDSM bila kutumia mechanical means migomo isingekuwa inafanikiwa (wale mnaokumbuka, ma-engineer wa mwaka wa pili walivyokuwa wanakwenda hall 3 ili kwenda "kuwashirikisha" dada zetu kuja kwenye "baraza" pale Nkrumah hall. Ilifanya kazi! Na kwa Shekifu & co.....nadhani mechanical brains za the Ole-Sendeka's of this world zilifanya kazi na siku nyingine Shekifu hawezi ku-bully watu tena hata kama platform ni yake! Hata mafisadi nadhani wanahitaji mechanical handling!simpingi sendeka kwani imefikia sasa watu kupata ujasiri wa kusimamia haki za watu tunaowawakilisha, lakiniit depends on who called for the meeting, kama ni wa kimkoa then sendeka amekosea... ila kama ni kikao cha kijimbo then he was right
Mkuu anabisha tuu bila utaratibu ndo maana yake nini. RC akatumia madaraka yake ndo nini? hapo ndo tatizo lilipotokea.Kama ulikuepo basi ungeweka wazi anabisha nini na kama alijibiwa au la. Inaonekana ilikuwa ni mkutano wa ushirikishwaji wa wananchi kwenye maamuzi.Tuwasikilize then tuwaelemishe nadhani ndo hoja ya ushirikishwaji. tusiende na majibu kabla ya kuwasikiliza.Mkuu Pasco naamini wewe ni mtu makini na huwa unajitahid kuchangia hapa jamvin kwa umakin wa kutosha... heshima mbele!!
Kwa hili la RC Shekifu na Ole Sendeka tuwe honest kidogo mkuu Sendeka alimkosea adabu RC....kwa kikao kile kimeitishwa na RC na munge yeye ni mwalikwa tuu ofcourse kwa kofia yake ya uwakilishi...
ishu nzima ilivyokuwa ni kwamba wakati RC anatoa maelezo ya namna vitongoji hivyo vinavyogawanywa kuna mtu alikuwa anabisha bisha tuu bila utaratibu kile alichokuwa anaeleza RC... kwa mamlaka yake as RC akasema mtu huyo atolewe nje Sendeka akasema asitolewe ghafla akazua zogo kwamba hapo ni kwenye jimbo lake hakuna wakumwingilia huku anapiga meza infact RC anaona na Sendeka anamdharau wakati anamwomba taratibu kwa chini chini atulie noway lazima sometime atumie cheo chake akataka atolewe nje na OCD mwishowe akakiri kikao ni cha RC na Sendeka akakiri hatatoka atanyamaza...
ukitizama ishu nzima utagundua Sendeka anakuwa na wasiwasi hata kwenye mambo yasiyostahili hili halina uhusiano wowote na Umasai au Umorani mkuu ....
hakuna mtu mkuu yupo juu ya Sheria... na hili ni jambo limesahauliwa na wakubwa wengi ...
wewe mkuu Pasco ni mjuzi wa sheria mtu anapokukumbusha kuhusu sheria flani na matumizi yake hakutishi anakuonya as the matter of fact RC anamkumbusha Sendeka sheria ya detention...
Kumuingiza Lowasa kwny ishu hii ya Sendeka kukosa adabu kwa RC nikumwonea Lowasa bure tuu mzee...
kwa hili mkuu Sendeka alichemsha as a leader hakupaswa kutetetea mtu anayeleta vurugu kwenye vikao halali tena kwa nguvu kubwa kiasi cha kuharibu personality yake....
kule Simanjiro Sendeka asimwone kila aliye against naye katumwa na Lowasa... by the way yupo kijana analitaka jimbo hili anatumia vizuri udhaifu wa vita vya Lowasa/Kone na Sendeka....nitarudi kukufahamisha maendeleo yake
SENDEKAAA TIGIREEE!!!!
Ole Lengeri.
Shekifu hakupenda kupingwa kwenye kile kikao, yule jamaa kuna jambo hakukubaliana nalo akanyanyua mkono kulipinga, ndipo Shekifu akamtaka yule jamaa atolewe nje, lakini Sendeka akaona yule jamaa anaonewa kwa kutolewa nje ndipi mtiti ukaanza, mpooooo, habari ndo hiyo, Akili ya mwezio changanya na ya kwako.
Mimi nimeona hiyo habari TBC1. Kasheshe limeanza baada ya mwananchi mmoja kupingana na RC kuhusu mgawanyo wa vitongoji. Ndipo RC akatoa amri atolewe nje ya mkutano. Sendeka alianza kumtetea kwa sauti ya chini ila baada ya hapo ndio wakaanza kupandishiana na RC. Kweli Sendeka alionekana anagonga meza lakini hata RC alikuwa anatembeza vitisho. Ndipo wakubwa wa wawili wa polisi walipofika kwenye meza kuu na kuanza kuongea na Sendeka ambaye alisikika akisema kuwa ameamua kunyamaza. Na hapo hapo RC akaendelea kurusha maneno mazito mazito ya vitisho na kwamba anaweza kumsweka ndani (detention). Siwezi kusema nani kamkosea mwenzake ila kitendo walichofanya ni cha utovu wa nidhamu kwani hakukuwa na haja ya kuzusha kasheshe kama hilo kwenye mkutano. Hata hivyo nadhani hawa wakubwa wanatakiwa kupunguza vitisho vya matumizi ya dola.
Lengeri, asante kwa taarifa hizi. Ole Sendeka keshajulikana yeye moto, kwenye vita dhidi ya ufisadi ni kamanda, kwenye ile kesi ya kumpiga Ole Milya, ameshinda tuu kwa hoja za kisheria, yaani legal technicalities, wanasheria wake ni wazuri, walikuwa wakilipwa na Ole Mangi, kama hakimu atalipwa mshahara wa mwaka mzima kwa kazi ya siku moja, kwanini asifanye?.Mkuu Pasco naamini wewe ni mtu makini na huwa unajitahid kuchangia hapa jamvin kwa umakin wa kutosha... heshima mbele!!