Ole Sabaya: Rais Samia atatuvusha

Ngoja aendelee kutunyoshea mbowe
Mumeo wanamlawiti huko
IMG-20211222-WA0012.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama mama Samia angekuwa kiongozi makini wa kwanza kumfukuza kazi alikuwa ni huyu Sabaya.

Huyu dogo ametumia mwamvuli wa TISS kutesa na kunyang'anya pesa kwa watu wengi sana.

Bila haki taifa haliwezi kuinuka na hapa huyu kijana anapiga kampeni awe mkuu wa mkoa.

Yajayo yanahuzunisha.
Likatimia.
 
Hata gaidi mbowe yupo ndani pia
Mbowe kuwa ndani ndio Sabaya kuwa nje, au!? Mbona kama sielewi mantiki yako!? Mbowe kuwa ndani wakati kesi yake inaendelea ndio kuwa mfungwa wa miaka 30 kama Sabaya!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom