Ole Sabaya: Rais Samia atatuvusha

Kuna watu muda huu sherehe ninaendelea kwa ajili ya Sabaya. Viongozi wote waliojifanya Mungu watu cha moto watakuona. Safu unakuja ya wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi inakuja. Waanze kutubu dhambi zao kwa Mungu.
 
Wakuu wa mikoa na Biswalo Mganga a
Wanapeta tu mpaka mkome hapo ufipa
 
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli.

Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa anaripoti kwa rais, makamu wa rais (Samia) waziri mkuu, na wakuu wa mikoa, anasema hao ndiyo waliomtuma kuitoa wilaya ya hai kutoka ya 192 kwenye ulipaji kodi hadi sasa hivi iko nafasi ya 4. Sabaya amesema wilaya ya Hai ikiongozwa na Mbowe ilikuwa hub ya wakwepa kodi, wezi ,wazurumaji ,na wasaliti nchini.

Ole Sabaya amesema kitendo cha Mama Samia kusifiwa na hayati Magufuli kwenye mkutano CCM Dodoma mwaka 2020 kinaonyesha alikuwa anamwamini sana na alitaka kama yeye hayupo basi sisi watanzania tumwamini rais Samia kwani atatuvusha.

Pia amesema uzuri ni kwamba hata rais Samia ameanza vizuri baada ya kukataa hadharani kumsaliti Magufuli pale alipowajibu wahuni Lisu, Heche, Msigwa ,Mbowe, Nape, Makamba na bavichaa kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ananyea debe huko kisongo saa hizi kudadadeq. Na machalii wanamsubiri wamfokoe
 
Unasemaaaaaaaa? Ongeza volume kada

🧐🧐🧐
 
Uzuri wake alisema mama Samia atatupeleka mbali, nashukuru nimeanza kuona kweli tutafika mbali.
 
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli.

Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa anaripoti kwa rais, makamu wa rais (Samia) waziri mkuu, na wakuu wa mikoa, anasema hao ndiyo waliomtuma kuitoa wilaya ya hai kutoka ya 192 kwenye ulipaji kodi hadi sasa hivi iko nafasi ya 4. Sabaya amesema wilaya ya Hai ikiongozwa na Mbowe ilikuwa hub ya wakwepa kodi, wezi ,wazurumaji ,na wasaliti nchini.

Ole Sabaya amesema kitendo cha Mama Samia kusifiwa na hayati Magufuli kwenye mkutano CCM Dodoma mwaka 2020 kinaonyesha alikuwa anamwamini sana na alitaka kama yeye hayupo basi sisi watanzania tumwamini rais Samia kwani atatuvusha.

Pia amesema uzuri ni kwamba hata rais Samia ameanza vizuri baada ya kukataa hadharani kumsaliti Magufuli pale alipowajibu wahuni Lisu, Heche, Msigwa ,Mbowe, Nape, Makamba na bavichaa kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
Hat mjmi naungana na Sabaya, Rais Samia atatuvusha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom