Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

Kwa hiyo Kuagiza uchunguzi au hatua za kisheria kufuata kwa DC ni mpaka namba Moja?? .
 
Ikiwa ulimkubali kwa hoja yako ya kurudisha 70m ndipo ukaanza kumpanmmapenzi yako wewe ni boya sana mandishi mengi huna hoja, mbona maovu aliyoyafanya hutaki kuyasema? Mangi usitumke kama toilet paper unajishushia hazi yako, Huyo mpuuzi wako alipotoka kwenye kipindi hapo clouds hakujua kuna watu wanamfutilia nyendo zake upuuzi aliufanya hapa dar vyombo vya usalama vinatarifa zake.

Wewe tulia usubiri uchunguzi ndiyo utajua kuwa unamtumikia sio binadamubali ni jambazi.
 
Wengi ya wanaomshambulia Sabaya, wamesikia au wameona kwenye Mitandao ya kijamii. Hawajataka kubalance story!!....
 
Kaa vizuri na mabinti wako (kama wazuri) waulize kama hawajabakwa basi watakutajia waliosoma nao ambao walibakwa.

Halafu si kila kitu kinaingia YouTube, sera ya pale hairuhusu kuweka content za utesaji, ubakaji na uuaji

Rudi kwa mabinti zako waulize kuhusu ubakaji, utajua unayemtetea ni nani
 
hata Osama alipendwa hata waleo kuna wafuasi wake wanaamini ni mwema sana asiye na mawaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…