Hizi siasa ukizichukulia serious sana either kuna siku utajivalisha bomu uishie kujilipua peke yako, au utapigiza simu yako hapo chini uivunjilie mbali...
- Wewe unakaza sura huku JF, wengine huko field wanachukua pesa wanaenda zao, sisi hapa ni kuwatukana weee wenyewe huko wanacheka zao tu..
[emoji830] Matokeo yake ni vidonda vya tumbo, na pressure, unaanza safari za hospitalini..unajikuta unaikimbia JF kwa njia ambayo hukuitegemea.
Watu mnatakiwa control your emotions, wewe ukiwa serious too much...kumbuka wengine wako kawaida tu, na wote tupo hapa jukwaa la siasa... hili sio jukwaa la kukasirikiana au kukunjiana sura muda wote.
Sent from my SM-G900H using
JamiiForums mobile app