OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

Mmmh!! Walikuwa wapi siku zote???
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?


source: ITV news
 
Huyu Mrisho Gambo kwa jinsi nilivyokuwa namfahamu alikuwa ni kijana mpiganaji sana japokuwa yy ni UVCCM but kwa kauli anazoanza kuzitoa sasa ni dhahiri wazi kuwa huyu dogo kashapozwa na misimbazi ya wakina Nape, haiwezekani waanze kumtuhumu milya baada ya kuondoka ccm na wakati kipindi yupo hawakuweza kumwajibisha kama ilikuwa ni kweli. Kwa hili Gambo umejishushia sana'
very low and poor statement gambo.
 
wana JF nikohapa na Ole Millya, hajachukua hivo vijisenti vyao amekataa, na pia tuwe na hoja za msingi. Kesho narudi RSA na huenda nikakutana na Collegemate wake waliosoma naye Pretoria tukajadili mambo fulani.....kukata mzizi wa fitina hebu mpigie katika namba hizi 0754 840004.

Achukue 2m kwani alikuwa Treasurer? CCM wamuulize katibu wao......Karibuni pale kijijini kwangu Nelspruit tule zabibu kavu, wana JF wote karibuni ila kuna siku nitarudi kugombea ubunge pale Mtera kwa LUSINDE LIVINGSTONE.
 
Kukwapua pesa za watu ni hatari sana!
Kama ikithibitika wamburuze kortini sio kwenye vyombo vya habari!
 
Back
Top Bottom