OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

Ndiyo kamanda! Nashangaa hata vijana ccm wamefilisika kifikra. Haileti mantiki tuhuma ya mwaka 2008 inaletwa 2012, haya ni maneno ya mkosaji.Halafu wakati huohuo kikundi kngine cha UVCC kimekanusha kuwa si kweli ,taarifa saa 2 ucku startv. Ndiyo ndo M4C, haina kulemba ,tulianza na Mungu,tutamaliza na Mungu. Aibu yetu,aibu yao? Aibu yao.
 
Milya alikuwa Mtunza fedha au Mwenyekiti?
Hapo mnatuchanganya.
Mimi mwenyewe ni mwenyekiti lakini sihifadhi hela.
 
kwa mujibu wa mrisho gambo milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya uvccm. Amemtaadharisha mbowe kuwa millya ni tapeli.....sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchkulia hatua ina maana ccm wanafuga matapeli?

source: ITV news

Ha ha ha haaaa! Yeeeeboooo! Magamba bwana! Wampeleke mahakamani basi!
 
peas wamekusanya tangu mwaka 2008 mpaka leo ni miaka minne na waliuwa kimya. wamengoja nini mpaka aondoke?? waache unafiki
 
CCM ni waongo wakubwa tena ni wanafiki. Kama kweli Millya alikuwa sio mwadilifu kwa kipindi chote hicho, walikuwa wapi kumwajibisha mpaka aondoke ndipo waanze kumsema! Ina maana walikuwa wamamuogopa kama jinsi wanavyowaogopa mafisadi wengine ambao badala ya kuwawajibisha wamekaa kusema wapime wenyewe na wachukue uamuzi. Kweli hiki sio chama cha uwajibikaji hata kidogo. Hayo ni maneno ya "Sizitaki mbichi hizi"
 
Kesho kuna mwingine wa Monduli anaondoka semeni kabisa kama mnamdai baada ya kuondoka hatutakubali upuuzi wenu wowote.
 
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?

source: ITV news

huyu dogo amechanganyikiwa na kukosa ubunge!hizi sarakasi za ccm zinachekesha sana!hivi millya alikuwa mwasibu au mwenyekiti?alikuwa anakaa na pesa za uvccm home au account yake?si wana ofisi ambayo inaendeshwa kwa taratibu husika.
Nape kashawaambukiza ujinga,
 
Mbona wao mwaka 1995 waliondoka na viwanja vyetu watanzania tote - kirumba, Jamhuri morogoro, amri adeid arusha, mwinyi tabora, sokoine mbeya etc etc hatujalialia? Warejeshe mali zetu watanzania then Millya arejeshe senti zao
 
Ndo Viongozi hao ambao wanaweza cku kupewa madaraka.. Wanakuja na cheap & false accusations.. Kweli CCM imechoka.. Shame on them..
 
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?

source: ITV news

Hata mtu akifa huwa anasifiwa sana kuwa alikuwa mzuri kwa matendo yake/mtu Wa watu/mpendwa sana(hata Kama alikuwa mwizi mlevi)bado watu watamsifia tu kwa unafiki.Hapa ccm inaendeleza unafiki wake kwa wananchi,ccm mlikuwa wapi siku zote?Kwa nini iwe baaada ya Milya kuondoka ccm na kujiunga na Chadema?Kama mnaweza kuwatetea wezi(mafisadi)ndani ya Serikali mtashindwa vipi kumsingizia mtu uongo?Mmeshaambiwa muache kupiga sarakasi na taulo hamsikii.
 
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?

source: ITV news

Maneno ya wakosaji tu hayo..Nape naye alisema anampongeza kwa kujivua gamba..hawa jamaa ni nutts cuz wanataka kutuaminisha kuwa kuondoka kwa jamaa sio pigo kwao ilhali makelele yao yana dhihirisha kuwa wamepata pigo..
 
jamani hiyo tunachuku simu moja tu ya voda tunawalipa watangaze kingine MVT4C INA HELA INATEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU SIO ZA GIZA HATA MALLYA ASIJICHANGANYE KUCHANGANYA GIZA ATAKWENDA NA MAJI TUNAFUNGA NA KUOMBA
 
Mwenyekiti ametoka wapi pesa za vijana? Au wanataka kutuambia JK anakaa na fedha za chama na sekali kwa sababu na yeye ni M/kiti.
 
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?

source: ITV news
Hoja ya Gambo haina mashiko maelezo anayoyatoa sasa yanatofautiana na aliyoyatoa wakati anafanya kampeni za ubunge wa EALA! makala yake ya kupendelewa na rafikiye mwandishi wa gazeti la Raia Mwema wiki hii ndugu Paul Sarwat baada ya kumsindikiza katika tuzo za waandishi wa habari EJAT mwaka huu.Vilevile Gambo anatoka Pwani kule walikosema Raisi wa Tanzania hatatoka kanda ya kaskazini na mwenye kumjua Raisi wa Watanzania 2015 ni mpwani mwenzao Jakaya Mrisho Kikwete. Na kwa wafuatiliaji makini wa sakata zima la ripoti za kamati za bunge (LAAC,PAC,POAC) na ile ya mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) shutuma nyingi zilitolewa kuhusu kusuasua kwa mambo katika halmashauri NA SERIKALI ZA MITAA KWA UJUMLA WAKE NA WATU KUAJIRIWA PASIPO KUZINGATIA WELEDI huyu bwana kibaraka wa wapwani wenzie amepewa kitengo cha tarakinishi katika manispaa ya Arusha kwa misingi ya kujuana na wakubwa na hata baada ya kupata ajira katika chuo cha Nelson Mandela nje ya jiji la Arusha mabwana zake walimshurutisha kurudia ajira yake manispaa kwa misingi ya kuendeleza fitina na majungu na wala sio kwa kuzingatia weledi wake kwa sababu walimweka pale kwa kazi ya kifisadi.Itoshe kumwambia Mrisho Gambo kuwa binafsi yampasa kutambua siasa za fitina na Majungu jijini Arusha hazina mashiko na zimekwishapitwa na wakati rudi kwenu Pwani ukaendeleze siasa za Majungu na Fitina kwani ndiko ziliko na mashiko.
 
Ccm -> chama cha matapeli

wahenga walisema, 'siku ya kufa nyani miti yote huteleza... hata ile yenye miiba. hebu ona jinsi ambavyo strategies zao zina fail.
wakisema ari mpya, nguvu mpya, kasi mpya, inatokea ANGUKA na kweli wanaanguka.

wakisema tunajivua magamba; inatokea chama cha magamba.

sasa na wewe umetuongezea chama cha matapeli.
 
Hebu tuacheni tupo busy na mambo muhimu kwa ajili yenu ninyi msiofikiri mbali. Tuna kesi mmetupa, Hamtaki kujiuzuru, Mmewapa wananchi umaskini, na mengi tunayafanyia kazi, umeona milioni 2 je tirion 5? alaaah!
 
Hoja ya Gambo haina mashiko maelezo anayoyatoa sasa yanatofautiana na aliyoyatoa wakati anafanya kampeni za ubunge wa EALA! makala yake ya kupendelewa na rafikiye mwandishi wa gazeti la Raia Mwema wiki hii ndugu Paul Sarwat baada ya kumsindikiza katika tuzo za waandishi wa habari EJAT mwaka huu.Vilevile Gambo anatoka Pwani kule walikosema Raisi wa Tanzania hatatoka kanda ya kaskazini na mwenye kumjua Raisi wa Watanzania 2015 ni mpwani mwenzao Jakaya Mrisho Kikwete. Na kwa wafuatiliaji makini wa sakata zima la ripoti za kamati za bunge (LAAC,PAC,POAC) na ile ya mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) shutuma nyingi zilitolewa kuhusu kusuasua kwa mambo katika halmashauri NA SERIKALI ZA MITAA KWA UJUMLA WAKE NA WATU KUAJIRIWA PASIPO KUZINGATIA WELEDI huyu bwana kibaraka wa wapwani wenzie amepewa kitengo cha tarakinishi katika manispaa ya Arusha kwa misingi ya kujuana na wakubwa na hata baada ya kupata ajira katika chuo cha Nelson Mandela nje ya jiji la Arusha mabwana zake walimshurutisha kurudia ajira yake manispaa kwa misingi ya kuendeleza fitina na majungu na wala sio kwa kuzingatia weledi wake kwa sababu walimweka pale kwa kazi ya kifisadi.Itoshe kumwambia Mrisho Gambo kuwa binafsi yampasa kutambua siasa za fitina na Majungu jijini Arusha hazina mashiko na zimekwishapitwa na wakati rudi kwenu Pwani ukaendeleze siasa za Majungu na Fitina kwani ndiko ziliko na mashiko.

Mkuu nakubaliana na wewe huyu Dogo Mrisho gambo ni kweli anatokea Pwani specificaly Dsm alikwenda Arusha kusoma na alisoa IAA mambo ya IT na ndiko alikoanzia siasa na alipo maliza akaloea Arusha.Anaongozwa kwa hisia na anatumika na kundi flani kutimiza malengo yake.
Mytake:Gambo bado ni kijana mdogo haya mambo ya kuruka sarakasi na taulo mbele ya watu hayatakupa umaarufu bali sifa yako kama kijana ambaye umepata elimu inashuka!.
 
Mwenyekiti ametoka wapi pesa za vijana? Au wanataka kutuambia JK anakaa na fedha za chama na sekali kwa sababu na yeye ni M/kiti.

Hata Mbowe anakaa na fedha za CDM, ushangae Millya!! Ufumbuzi ni yeye aturudishie pesa zetu vinginevyo vijana wa Kamanda Ande.. watakula sahani moja na yeye
 
Back
Top Bottom