Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Ameteuliwa leo na amepewa mkataba wa miezi 12. Anachukua nafasi ya meneja aliyefukuzwa Macay.
Tarehe 29 Jan anapambana na timu yake ya zamani Manchester United wakati huu akiwa kocha. Patamu hapo!.
Itakumbukwa kuwa alikuwa anafundisha timu ya MOLDE.