Ole gunner ni kocha mwenye IQ ndogo zaidi kuwahi kufundisha EPL

yitzhak

JF-Expert Member
Jul 3, 2019
616
853
This man is boaring he brings jokes all the time
Every times comes with an excuse

I have watching Epl for more than 19 years sijawahi kuona kocha mpumbavu kama Huyu

He doesn't have gentleman talk anatoa excuse za kike tu

Mara tupo kwenye mpito
Mara tunatengeneza wachezaji wenye moyo wa Manchester
Yaani anaongea kama Hawa makocha wa ligi yetu ya Tanzania poor in everything
Before nilikuwa nawaheshimu sana wazungu kama watu smart. Lkn kupitia Ole nimejua kuna wazungu washenzi mno

Nimekuwa nikisikiliza interview za makocha wengi EPL. Coaches always hit the point, ila huyu bwege anaropoka ropoka tu kwenye interview

Atasema January tunasajili forward ikifika January atasema we want to give chance young players you can see this cowards

Na amewawezea kweli waingereza anaongea siasa na bla bla tupu na kupanga waingereza kwenye timu as an excuse kuendeleza vipaji

Manchester united ina kaa daraja moja na Barcelona. Real Madrid.bayern Munich, AC Milan, Ajax, liverpool nk

Lkn Manchester sasa inaendeshwa km mid table team no future at all


Ole gunner alishusha Cardiff city daraja kwa aibu akakimbia uingereza akaenda kwao baadae likarudishwa Manchester kwa njia ya rushwa anaiua timu mashabiki wanamkenuliA tu

Kocha mjinga huyu
Hajui kuinua vipaji vya wachezaji
Hajui mbinu nyingine ya ushindi zaudi ya counter attack


Viwango vya wachezaji vinashuka kila uchao?

Martial anacheza kama mjamzito kocha linaangalia tu
James abakimbia bila malengo km alivyikuwa walcot kocha lipo tu

Rashford akipokonywa mpira anashika kiuno kocha lipo tu

Kule nyuma goigoi Maguire ,lindolf ,bissaka,shaw wanakaba kwa macho kocha lipo tu

Kina Fred na perriera wanapasia adui mpira kocha anabungaa tu


Wachezaji viwango vinaporomoka kocha yupo tu

This man is shit, no more excuse again

Halafu liongo mbaya sana sijui mzungu gani huyu mnafiki hivi

Timu km Manchester united haitakiwi struggle kucheza uefa ila chini ya ole we finished kwa kweli

I hate Manchester united board but mostly I hate ole

Bad enough I hate myself being Manchester united supporter

Nimegundua mashabiki wa mid table team hawana stress ase

Nilikuwa na opition ya kuwa shabiki wa Birmingham city ila nikaopt Manchester united

Any way I hate , I hate

Lini tutaanza kushinda makombe tena?
 
Kama umeshindwa kumuelewa Ole huna lolote ulijualo katika soka, Wewe ni mmoja kati ya mashabiki maandazi wa ki bongobongo. Kuangalia kwako mpira miaka 19 hakujakusaidia chochote.
 
Ole is not a coach he is politician

Bora timu ingemuacha van gaal au morinho not this shit

Huyu aliishusha Cardiff city daraja

Sishangai Manchester united ikushuka daraja chini yake

Kocha ana IQ ndogo huwa hawezi kusoma hata game plan ya timu pinzani
Kama umeshindwa kumuelewa Ole huna lolote ulijualo katika soka, Wewe ni mmoja kati ya mashabiki maandazi wa ki bongobongo. Kuangalia kwako mpira miaka 19 hakujakusaidia chochote.
 
Leo mnakutana na mwendawazimu mliomtimua kazi MO..
kasema hana huruma na man u,
Hana huruma yeye ni nani hadi awe na legality ya kusema hivyo? By the way jamaa si kocha mzuri Na uwezekano Wa kumfunga upo pia. Na asipobadilika kiuchezaji atatimuliwa pia
 
Katika timu kubwa Duniani, Manchester united ndo timu yenye board structure mbovu kuliko zote, na hii inatokana na viongozi wenye maamuz kutokuwa na uzoefu wa mpira, Ukweli ni kwamba Ferguson aliibeba hii timu, haina lolote kumbe ni kama Watford tuu,

Na Ferguson kuachia ngazi kuna mengi nyuma ya pazia,
 
Hana huruma yeye ni nani hadi awe na legality ya kusema hivyo? By the way jamaa si kocha mzuri Na uwezekano Wa kumfunga upo pia. Na asipobadilika kiuchezaji atatimuliwa pia
Man u ya sasa haiwezi kumfunga spurs, labda kwa wakat mwingine

Man u mnaenda kula kipigo kwa spurs

Man city anakuja kuwanyoosha vzur, nadhan mpaka hapo ole atakuwa amefikisha asilimia 90 za kufukuzwa
 
Katika timu kubwa Duniani, Manchester united ndo timu yenye board structure mbovu kuliko zote, na hii inatokana na viongozi wenye maamuz kutokuwa na uzoefu wa mpira, Ukweli ni kwamba Ferguson aliibeba hii timu, haina lolote kumbe ni kama Watford tuu,

Na Ferguson kuachia ngazi kuna mengi nyuma ya pazia,
Hivi hilo kundi halina watu wenye uzoefu na mpira ?
Screenshot_20191204-084907_Opera%20Mini.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom