Pep Guardiola alikosea sana kwenda Manchester City

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,990
8,367
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili

Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka

Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi

Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi

Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans

. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city

KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool

Bernado silva haitaki kabisa manchester city

Rodri anapambana aende barcelona akiondoka Pep

Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie

Cancelo aliwakimbia

Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia

Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City

Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo

Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini

Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club
 
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili

Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa mioni mwa watu kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka

Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi

Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi

Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans

. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city

KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool

Bernado silva haitaki kabisa manchester city

Rodri anapambana arudi barcelona akiondoka Pep

Ungekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
 
Cancelo aliwakimbia ama alitimuliwa.

Na hata bayern na wao wamemkataa sababu ni mbovu kwenye kuzuia. Ndio maana hakupata namba bayern na mwisho wa msimu bayern wamekataa kumnunua cancelo.

Man city safu yake ya ulinzi imepata matokeo mazuri sana toka Cancelo alivyoondoka
 
🚮
 
Jamaa alikuwa anachomesha sana magoli kipindi cha mwishoni akiwa na city
 
Ungekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
City kama PSG tu plastic clubs.

AC Milan ina Mvuto kuliko city. That's why all talented player will no retire at city
 
Ungekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
Huwezi amini amesema "Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini"
 
Back
Top Bottom