Awamu ya 4 + awamu ya 6=10. Hiyo 10 tunaomba maelezo tafadhali!4+6=10
Awamu ya 4 + awamu ya 6=10. Hiyo 10 tunaomba maelezo tafadhali!4+6=10
Anamaanisha kabla ya mwezi wa 10 awamu zote chali!!yaani watawafuata wenzao was awamu nyingine huko ardhi ya kwanza ya pili Hadi tisa!!yaani kule wanapoendaga hawarudi tena!!Awamu ya 4 + awamu ya 6=10. Hiyo 10 tunaomba maelezo tafadhali!
Mambo mengi muda mchacheMwanaccm wa kadi kama Mimi na mjumbe wa mkutano mkuu wa kata tawi fulani,nimetick jana na nitatick jina nitakaloliona Kwa balot hapo mbeleni whether iwe October, November, December au January!
Kwani nikuulize,hao checkers wanataika sisi tuje tu tick lini!!?
Nauliza!