Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,121
- 136,887
hahahahah
Watanyooka tu hawa anti US.....
hahahahah
Acha ushabiki baba mkwe, AK47 huwezi kulinganisha na hiyo silaha nyingine. Urusi bado haijapata upinzani kwenye hii sekta.
Haichagui. Ni sawa na risasi ya tembo si inaua hata binadamu? Abrams M1 ni special armor platwd tank ambayo ilitakiwa isidhurike na hizo missiles pamoja na IPDs. Ina spidi mpaka 72kph
Mbona speed ndogo sana hii..!!?
Yes, ni ndogo sana mkuu!.Kwa kifaru?
kama zimepigwa na kombora la 1980 basi tutakuwa tunaongelea quinine na coartem. mrusi best brains zote alipeleka jeshini ndiyo maana hagundui iphone lakini mkija kwenye millitary technology lazima ukae.Zimeanza kutengenezwa 1980
kwa kifaru hiyo ni speed kubwa sana. sidha kama kuna vita adui anaweza kuadvance kwa nusu ya hiyo speed.Yes, ni ndogo sana mkuu!.
kifaru ili kichanje mbuga itabidi kiwe chepesi sana. kikiwa chepesi sana hakiwezi fanya kazi ya kifaru. labda unazungumzia humvees.comrade kwa ninafaham hasa nyakati hizi sidhani kama nchi zilizoendelea wanazi umia sana, ikiwa na maana kwa sasa kuna vifaru vinachanja mbu mbuga kwa high speed..!
comrade kwa ninafaham hasa nyakati hizi sidhani kama nchi zilizoendelea wanazi umia sana, ikiwa na maana kwa sasa kuna vifaru vinachanja mbu mbuga kwa high speed..!