Hapa nimejifunza mengi kuhusu uwezo wa silaha za mataifa mengi - asanteni sana wachangaiji.
Tatizo langu ni kuwa:
Hivi haya malumbano (postures) ya haya mataifa makubwa ya kivita (USA, Russia, EU, China, Israel, Pakistan, India, N. Korea, etc.) yanatusaidia nini sisi walalahoi wa mataifa mengine duniani na sisi wa Bongo tu - (au kama sio vikaragosi au wategemea wakuu wa haya mataifa makubwa?)
Nina tatizo kubwa sana kwa Marekani kuikwaza Urusi kiuchumi eti tu kwa sababu Urusi inawapinga Marekani kuhimilishwa na kuhujumiwa na NATO.
(Kumbuka kuwa - Reagan na Gobachev walikubaliana kuwa NATO haitajisogeza hata mita moja mashariki kuihujumu Urusi walipovunja ukuta wa Berlin).
Hiki kitu cha Urusi kuihimili Crimea ni sababu tu. Crimea walijichagulia wenyewe kuhamia Urusi baada ya mapinduzi ya raisi Yanukovych yaliyotokea February 2014. Kinacholeta huu mtafaruku sasa ni kuwa NATO wanajikusanyia nchi nyingi ndani ya NATO ambazo katika makubaliano ya awali ya Reagan na Gobachev walikubaliana kuwa hayatatokea.
Kwa sasa Marekani (NATO) wanasema kuwa eti enzi hizo "Gobachev na Reagan hawakuyafanya haya makubaliano kimaadishi" - really?.
Mkuu Nyani Ngabu (na wengine pia - nitawanukuu hapa chini), kwa kuwa wewe (nyie) natumai una(mna) historia nzuri ya "the cold war", u(m)naweza kunisahihisha vizuri.
Ushauri:
Tusishabikie haya malumbano ya hizi SUPER au superior powers hata kidogo. Kwa nini?
SISI SOTE NI MAJERUHI TU WA HAWA MAFAHARI WANAOGOMBANA!!
Tukatafute MIHOGO na MAHARAGE yetu tu tule!! Au vipi? Tupo Njia panda.
cc. Dotworld Safari_ni-Safari Maziku Masunga Jr. kui Somi mohamedidris789 TODAYS INConoclastes malcolm Lumumba Njooni huku bwana Bukyanagandi elingata TUJITEGEMEE Red Giant
Usiamini sana mambo ya video games za Warusi wewe.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2:
shkamoo Russia
hili ni kombora liitwalo Topol m hakuna mfumo wowote wa kuzuia makombora duniani unaweza kulizuia,ni kombora lenye kasi kuliko yote duniani kwa spidi ya maili 15000 kwa saa kwa maana ndani ya nusu saa toka limerushwa linafika usa kufanya uangamizi.
Hapa nimejifunza mengi kuhusu uwezo wa silaha za mataifa mengi - asanteni sana wachangaiji.
Tatizo langu ni kuwa:
Hivi haya malumbano (postures) ya haya mataifa makubwa ya kivita (USA, Russia, EU, China, Israel, Pakistan, India, N. Korea, etc.) yanatusaidia nini sisi walalahoi wa mataifa mengine duniani na sisi wa Bongo tu - (au kama sio vikaragosi au wategemea wakuu wa haya mataifa makubwa?)
Nina tatizo kubwa sana kwa Marekani kuikwaza Urusi kiuchumi eti tu kwa sababu Urusi inawapinga Marekani kuhimilishwa na kuhujumiwa na NATO.
(Kumbuka kuwa - Reagan na Gobachev walikubaliana kuwa NATO haitajisogeza hata mita moja mashariki kuihujumu Urusi walipovunja ukuta wa Berlin).
Hiki kitu cha Urusi kuihimili Crimea ni sababu tu. Crimea walijichagulia wenyewe kuhamia Urusi baada ya mapinduzi ya raisi Yanukovych yaliyotokea February 2014. Kinacholeta huu mtafaruku sasa ni kuwa NATO wanajikusanyia nchi nyingi ndani ya NATO ambazo katika makubaliano ya awali ya Reagan na Gobachev walikubaliana kuwa hayatatokea.
Kwa sasa Marekani (NATO) wanasema kuwa eti enzi hizo "Gobachev na Reagan hawakuyafanya haya makubaliano kimaadishi" - really?.
Mkuu Nyani Ngabu (na wengine pia - nitawanukuu hapa chini), kwa kuwa wewe (nyie) natumai una(mna) historia nzuri ya "the cold war", u(m)naweza kunisahihisha vizuri.
Ushauri:
Tusishabikie haya malumbano ya hizi SUPER au superior powers hata kidogo. Kwa nini?
SISI SOTE NI MAJERUHI TU WA HAWA MAFAHARI WANAOGOMBANA!!
Tukatafute MIHOGO na MAHARAGE yetu tu tule!! Au vipi? Tupo Njia panda.
cc. Dotworld Safari_ni-Safari Maziku Masunga Jr. kui Somi mohamedidris789 TODAYS INConoclastes malcolm Lumumba Njooni huku bwana Bukyanagandi elingata TUJITEGEMEE Red Giant
Ndugu yangu ujuzi hauzeeki. Jitahidi kadri uwezavyo kujiongezea ujuzi hata kama hauna manufaa leo utakusaidia baadae.
mkuu Russia na America ndio super power wa dunia hii
Tukianzia na Tanzania kwenye mgodi wa uranium kampuni za russia na america zina maslahi ya moja kwa moja ,vilevile gesi ya mtwara kuna kampuni ya america pale,hivyo zinachangia kodi tanzania.
kimataifa;russia na america ndio wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani kwa sasa.
gas
1.USA
2.Russia
oil
1.USA
2.Saudi Arabia
3.Russia
Russia na America wakipigana kwa kutumia biashara ya mafuta na gesi lazima bei ya gesi na mafuta ktk soko la dunia ipande au kushuka hivyo uchumi wa dunia unayumba.
Russia na America wakipigana kwa nuklia dunia itaharibika vibaya kama sio kuteketea yote.
Russia ina vichwa vya nuklia 7500,America ina 7100