MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Nyani NgabuHuyo Mrusi alifurushwa huko Afghanistan na akina Osama halafu wewe hapa unaimba nyimbo za kumtukuza?
Umelewa kool-aid ya MRusi wewe.
Mbona baada ya Tet Offensive the Yankees walikimbia??
Last edited by a moderator: