BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Penzi lako kwa mume wakoTupoooo..!
Wazee wa NUTA Jazz band
Umenitaja mkuu nipo hapa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama masoud masoud wa TBC 1 angekuwa member humu angeanza kutuletea khabari za kina isaac huyes au james brown au ray Charles jimmy hendrix pangenoga humu maana kina mtu atataja waqt wake kama ni public anemy au Nwa patakuwa patamu.
Daaah inawezekana yupo bwana ....masud njoo bwana. Kamaa hayupo mimi kwakwel ntaenda kumtafuta aje humu tena daah masud ndo kabisaa ana habar za kina sanaKama masoud masoud wa TBC 1 angekuwa member humu angeanza kutuletea khabari za kina isaac huyes au james brown au ray Charles jimmy hendrix pangenoga humu maana kina mtu atataja waqt wake kama ni public anemy au Nwa patakuwa patamu.
Hahha mkuu yes...umekumbuka nini kwenye hio ngoma ya kitamboNajua wajua una mawazo....ila tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo....x2
Nia yangu na madhumuni yangu....x2
Ilikuwa..tufunge ndoa...na tuishi sote kama mume na mke.....
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu...x2
Wazazi wako waliniwekea vikwazo vingi......
Ooh Selina piga konde moyo ooh Selina....
Oooh Selina utafanikiwa....
Dah mkuu hivi hao raia wako wap especially akina coolio, wazee wa OPP wako wap aisee ...yu know opp.ye yu know meee ...hahahaah...Oi oi oi....
Mob deep
Outcast team
Naughty by Nature
Thug life
BadBoy
Coolio
X-zibit
Lost Boys
Mase
Puff Daddy
Nas Escober
Snoop Dog
Dr.Dre
Ice Cube
Master P
Nate Dogg
Mi nilianza kuwasikia hao wa 90's though wapo wakali waliowatangulia.
Old school = Gold school
Hahha mkuu yes...umekumbuka nini kwenye hio ngoma ya kitambo
Ndani yake kuna hellow.....au sio..???
Shikamoo baba!!Penzi lako kwa mume wako
Lilisababisha mwenzio akutende bure
Nyumbani alipo ondoka
Alikuendea kinyume yakakufika maradhi
Mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya ukweli
Yangelikuwa ya ukweli Ete yasingukukuta
Tutajitahidi nduguzo maradhi yakutoke
Mola atakusaidia yeye ndio mwenye uwezo.