OJ Simpson

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,838
Points
0

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,838 0
Wakuu huyu ni mmoja wa wanamichezo ambao kesi zao zilivuta hisia za watu wengi sana. Nakumbuka wakati kesi yake inafunguliwa nilikuwa Form 3 na sikuweza kufuatilia na kuelewa zaidi ya hapo. Kuna yeyote anayeweza kurusha mwanga juu ya kilichokuwa nyuma ya kesi yake ya kumuua mtalaka wake ambayo inasemwa sana kuwa ilikuwa ya uzushi? Naomba msaada kwasababu ni muhimu sana.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,717
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,717 2,000
Mwita usiwe mvivu kusoma ukigoogle kila kitu kimeelezwa unless labda kama nawe ni product ya hizi shule za voda fasta hivyo lugha ya google haipandi sasa humu unatafuta wa kukufasiria?.
 
Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
835
Points
225

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
835 225
Ok Ngoja nijaribu, labda kidgo kw auelewa wangu wa haraka haraka. OJ Simpson aliachiwa huku kwenye kesi ya kumuua mtalaka wake Nicole Brown Simpson,pamoja na King'asti wake Ronald Goldman (sikumbuki kama jina ni sawa) baada ya ushahidi mzito ulio onyesha kua glove iliyo achwa kwnye sehemu ya nyuma ya ukuta wa nyumba ya OJ, ambapo mgeni aliye kua kwnye nyumba ya wageni ya OK anaitwa Keto Kelin ,alidai alisikai kishindo , nakudhani kulikua na mtu na kumuarifu police ambaye alikua wa kwanza kufika nyumbani kwa OJ , kumtafuta OJ baada ya kugundua Mtalaka wake kauwawa. Police huyo alikuta hiyo glove na kudai ndio iliyo tumika kwnye mauaji ambapo haikumtosha OJ na hivyo wazee wa baraza walio weusi wakaona haku a na hatia.

Mmoja kwnye Jopo la watetezi wa wa OJ alikua ni baba ya Kim Kardashian yule sexy amature pornstar/actress/reality star and now a married woman , anaitwa Robert Kardashian (marehemu) , jopo lilikua kubwa sana na mbaka hata Nimrod Mkono alikau mmoja wapo.

Baada ya hapo OJ alifunguliwa kesi ya madai na familia ya mtalaka wake ambapo wazee wa baraza walikua weupe wengi na kushindwa na kuamua kulipi fidia ya mamilioni.

Baada ya hapo OJ alihama LA na kuhamia Florida, ambako aliishi mbaka alipo patwa na tatizo lingine baadaya pale kuvamia sehemua mbapo vifaa vyake vya michezo na baadhi ya mali nyingine zilikuwepo , alivamia akiwa na watu pamoja na silaha , na kusababisha kushtakiwa kwa kosa la wizi wa kutumia nguvu, ambapo alishindwa kesi na kuhumukiwa jela , (since umesema hakunataarifa google, so namimi sija sumbuka kwneda huko so sijui ni miaka mingapi)

Alipo ambiwa ajiongelee mahakamani ,OJ alidai alipo fanya hivyo hakujua ana fanya kosa sababu alikua ana kusanya mali zake .
 
Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
835
Points
225

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
835 225
Sorry kumbe ulitaka story kamilia ya ninbi kilijiri, ok ngoja nijaribu tena.
Oj na mkewe wali achana ,kama tunavyo jua Nchi hizi unapo achanana mke unendelea kutunza fammilia kwa kulipa child suport ,amabo watoto wantakiwa waishi kufanana style yako ya maisha, Kwa hiyo OJ alilazimika kutoa pesa nyingi kwa mtalaka wake ili waishi vizuri.
Tatizo lili anza pale mtalaka wa OJ, ambay eanaitwa Nicole Brown Simpson alipo anz akua na mahusiano na wanaume wengine, mbapo ilionekana badhi walikua wana pewa na zawadi na kuendesha gari la mama, hapo ndio chanzo kikaanza kwa OJ, kuja mara kw amra home kwa Nicole kutukana matusi na kuna wakati aliweza hata kumpiga mkewe mbele ya dada yake na kusema anafanya mengi mazuri kwa Mtalaka wake ila ni malaya.

Siku ya tukio liliptotea ni kwamba , OJ alikua anaishi Chicago , ila alikuaja LA ili kuhudhuria michezo ambapo mtota wao alikua ana onyesha shuleni,Mchana OJ na Nicole walikua pamoja na watoto wao wawili kwnye maoneysho yao mbaka yalipo malizika na usiku huo huo OJ alitakiwa kurudi Chicago.

Baada ya maonyesho , Oj na mkewe wakachana OJ akaondoka kivyake kurudi nyumbani kwake <hapo hapo LA, ambako ana nyumba kubwa na ambapo baadhi ya vyumba huwa anavifanya kama guest house kwa wageni ambapo siku hiyo kulikua na mgeni anaitwa Keto Kaelini alikua ni young actor.

Baada ya kuachana na OJ hapo shuleni, Nicole akaondoka na watoto kurudi nyumbani kwake , ila kabla ya kufika nyumbani wakapitia kwenye restoraunt nadhani ilikua ya pizza, baada ya kutoka hapo akarudi nyumbani na watoto.

Alipo fika nyumbani akakumbuka amesahau miwani yake hapo kwnye restourant , kwahiyo akapiga simu kuilizia, maneger akatuma mtu aangalie wakaiona ndipo ,mhudumu wakume ambaye alikau anaitwa Ronald Goldman ,akajitolea kuipeleka yeye mwenywe.

Kilicho fuata bada ya hapo, ni kwamba, usiku ulipo ingia yule mpangaji Keto kaline , alikua anaongea na simu na mpenzi wake, wakati wa maongezi, akasikia kama ukuta wa dirisha lililo jirani na chumba chake kama una tingishika kiasi mbaka picha ya ukutani ikadondoka, yeye akajua earth quake, so aka muliza mpenzi wake je ni kuna earth quake?, mpenzi wake akasema hasikii kitu, so akashikwa na woga amaamua kutoka nje.

Nyumba ya OJ ili kua na mageti mawili, moja ukitoka tuu, chumba cha Kato Kaelin unaliona , lingine liko kwa upande mbaka uzunguke ambako hilo geti iko karibu na sehemu ya ukuta ulipo kua unatingishika, yaani ukuta unapakana na fance so kuna kama uchohcoro mwembamba ambao una tenganisha ukuta wa nyumba na fance na una giza.

Alipo toka tu nje akapita geti la kwanza ambalo ana li face kw ambeke , halafu akapinda kama kushoto ndiko kuna mlango wakuingia ndani ya nyumba, akaendelea mbeke na kufika geti la pili na hapo tena akapinda kushoto ndiko kwnye zile kelele aka mulika na tochi hakuona kitu.

KUmbuka OJ alikua anatakiwa kusafiri usiku huo na kumbuka pia enzi hizo cell phone hakuna .Wakati Keto Kaelin ana rudi kutoka kuchungulia hizo kelele, ndip akaona Limosine iko getini kwnye lile geti la kwanza, so akamfungulia , yule dreva aka ingiza gari, kinyume nyume ili mizigo ya OJ iweze kuingia kwnye buti, ila akasema amempigia simu sana OJ na hapokei, (kumbuka laizma apokee simu ya ndani sio cellphone)

Wakati wana shangaa hapo ndipo OJ akatoka ndani nakudai kua alikua kapitiliza usingizi, kwa maelezo ya Keto OJ alikua ana sweat sana , na kingine kilicho mshangaza Kate ni kwmaba nje waliona mfuko uko pembeni ya gari wakashangaa ule mfuko umefikaje pale sababu OJ alikua ndani ya nyumba ni na ni kautoa nje mapema .

Kate akamueleza OJ kuhusu kelele OJ akasema labda ni mbwa tuu, na akadai kachelewa Airport na kuamua kuondoka haraka. Kato akarudi kulala,ndipo usiku akaamshwa na police Mpelelezi kugonga ndani ya nyumba ,mlango wa chumba cha Kato, na kumueleza kuhusu mauaji.

Kato akasema hayupo kasafiri muda sio mrefu ,ila alisikia kelele nyuma ya nyumba, ndipo yule mpelelezi akasema ntgoja akaangalie, alipo enda ndio akakuta hiyo GLOVE. na ikamfanya OJ kua ni mmoja wa watu muhimu kuhojiwa.

Oj alipo itwa na police huko Chicago akaonekana ana jeraha kwenye mkono , alipo ulizwa umepataje jeraha akadai baada ya kusikia mkewe kauwawa alikua ana kunywa wine na alishtushwa na kifo hicho na kuiminya ile glass mbaka ika vunjika na kumkata yeye.

Baada ya hapo story ni ndefu sana , ila kilicho jiri ili dhaniwa ni hivi OJ , alimfuatilaimkewe na gugundua wana kutana na KIng'asti akawa na hasira maana alisha wahi sikika akisema atamua mtu ambaye ana tembe na mkewe kwakula hela zake yeye OJ, so Inadhani wa waliwavizir anakuwa kuyta nje, aka muua jamaa kwanza kw akumchinja na kumkimbiza mkewe mbaka kwnye ngazi na kumchinja pia, wana asema jeraha lilikua karibia kutenganisha kichwa .

Baada ya hapo Oj karudi chap chap mbaka home, kufika home akaona limosine nje , kashindwa kuruka ukuta maana dreva angemuona, so akamua kiungia kwa geti liningine na kutaka kuingia kwa dirishani, so alipo jaribu kufungua dirisha ndio zile kelele zilizo mshtua Kato Keline , na alipo poona kua kate ana stuka akakimbia chap chap na ku angusha GLOVE na kuingia kwa haraka mlango wa mbele , maana dreva alidai alipo piga simu sana haikujibiwa ila alioona ghafla kitu kama shadow , hakuweza tambua kama ni mzungu au mweusi kikiingia ndani ya mlango wa mbele na kilipo ingia tuu , taa za juu za nyumba ya OJ zikawaka na simu ikapokelewa na kudai ali pit iwana usingizi.

Ushahidi ulikua unadai kwamba Lile begi lilo onekana pembeni ya gari ni lilikua nje sababu OJ alikua yuko nje teari akihangaika kuingia ndnai ya nyumba bila kuonekana ndio mana akaliacha hapo na ndio lilo kua na kisu kilicho tumikakwnye mauaji .

Glove ilikutwa ambayo ili match na glove nyingine iliyo kutwa kwnye crime scene , kumbuka ile sababu ya kupatikana hiyo GLOVE ni yule Mgeni ndiio alisema alisikia kelele upende ambako hiyo glove ilionekana.

Jirani na nyumba ya mkewe, ambako mauaji yalifanyika , kulikua na maid wa kutoka south America , huyo alipo ulizwa zaidi akasema aliona gari ambalo lina fanana na ya OJ ambayo ilikua ni White Ford Bronco nje usiku ule .

Oj alikutwa na jeraha

Ngu za OJ zili acha DNA na vipande vya carpet ya gari la OJ vilikutwa kwnye crime scene.

Kwnye crime scine kulikua na shoe prints ,mbazo OJ aliulizwa kama alishawahi kua na viatu vyenye shoe print hizo , alikataa ila baada ya muda kuna picha za zamani zilimuonyesha kavaa viatu hivyo ana lidai hajawai kuana viatu vya aina hiyo

Kutokana na shoe prints zenye damu , kwnye gari la OJ kulikutwa na tracess za damu kwnye eccererator na carpet na na kwnye mlango naku cheki DNA wakakuta ni za Nicole .

na ushahidi mwingine mwingi sikumbuki zaidi ila kisu hakikupatikana kabisa

Utetezi ulipangua baadhi ya ushahdi, kwa kudai hivi

Police aliye ingia wa kwanz akwnye nyumba ya OJ, ndio aliye ikuta ile GLOVe hakuna na search warrant , so aliruka ukuta kuingia na wakasemaitakua yeye kapandikiza hiyo GLOVE ku m frame OJ

Sababu, ni kwmaba huyo police ni Mbaguzi, alisha sema na kurekodiwa kua anachuia black walio oa wazungu na kama akiwa na uwezo angewachoma moto wakiwa hai.

Damu kukutwa kwnye gari, ni kwamba handeling ya police ya lile gari haikua makini , gari lili guswa na watu wengi na pia hata kule nyumbani crime scine haikwekewa hata utepe wa kuoneysha mtu asipite . so wakasema hivyo havina ushahidi
Halafu kikubwa ni kwamba OJ aliambiwa aivae ile GLOVE alipo zivaa haziku mtosha kwa hiyo wa kasema hawezi mtu kununua Glove ambayo sio size yake, na mwisho wa siku kesi ikashinda .

Cha ajabu baa da kesi malawyer wa OJ wkaaza pata matatizo ,Robert Shapiro aka fungwa jail kwa muda , sikumbuki alifanya kosa gani, yule Black lawyer Johnnie Cochran akafa kwa brain cancer na pia Robert kardashian akafa kwa throat cancer .
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
17,284
Points
2,000

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
17,284 2,000

MKONO vipi? Mbona bado yupo?
 
Forum statistics

Threads 1,352,881
Members 518,197
Posts 33,068,307
Top