Bora uwe Mchizi, kuliko uwe mwizi!!
Hakufuata ushauri wake mwenyewe.
Afadhali na huyo aliyelipaka tope taifa letu,je, hao NEC na mkulu wao wanalolipaka kinyesi Taifa letu tuwapeleke wakafie wapi?
rastaman hivi unaandika tu au unajua unachosema achana na maneno ya mitaani,i know the dude hakuwahi kumiliki jaguar ever !! mwacheni oj apumzike aendelee na maisha yake !
Hivi ndiye huyu hapa au ni majina tu?Huyu jamaa ni **** sanaaaa, na yule demu wake ambaye zamani alikuwaga redio tumaini amemlia mali zake kama hana akili nzuri na baada ya jamaa kufungwa demu kaibuka na dume jingine wanakula zao raha huko marekani hana time tena na OJ wenzake wamebaki wanajilia kule. ulimbukeni mbaya sana jamani halafu huyu jamaa alisahau kuwekeza hapa kwao, matokeo yake sasa amerudi from hero to zero. Pole zake lakini ndio maisha ajifunze sasana jela ya marekani atakuwa amejifunza ila sijui kama hawakula kiboga
akafie mbele
mtu mwizi tena amelipaka matope taifa letu
Othmani Njaidi kwisha habari yake jana nimemuona Sinza kumekucha kaja kigarh Kinissan march na amepauka.
Wekamo kapicha kake basi.Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
🤣🤣🤣..Thief
😁😁🤣🤣 Kmmk nimechekaMwenye Jaguar ni yule mwingine aliye kua na yule mtoto mzuri aliye mkamata toka Chicago bwana! ye e ndiye alijaza ma picha kwnye Hi5 enzi hizo kuonyesha matanuzi ya kufa mtu!
Acheni vijana waibe kwani sindio culture yetu, mababa kibao Bongo waniba kodi ,itakua huyu anaibia wazungu ?.
Chorus ni nani huyo? Kama anamegwa alivyoimba.dah!hiyo nyimbo imenikumbusha mbali sana?long time kitambo hta nimesahau yy aliimba verse ya ngapi,ila kwa memory zangu mbovu nahisi ya mwisho though nimeisikiliza mara moja tu
Hawez kuwa mrembo hivi. Vijana wa 90s tumekaza sio lain lain kama hawa wa sasa.Hivi ndiye huyu hapa au ni majina tu?
View attachment 3414243
shida ya ulimbukeni bado ipo, pesa kidogo kelele nyingi.Siku moja vijana hawa wakitokea Houston waliingia kwenye baa moja pale Dallas ambamo mimi na wenyeji wangu tulikuwa tukijiburudisha na vinywaji; nadhani baa ile ni maarufu sana kwa watanzania. Basi acha watoto hao wa Houston wafanye kufuru kwenye baa hiyo. Niliiuliza vijana hao wanatoa wapi pesa ya kusanganya namna ile, nikawa interested kujua biashara yao. Akili iliyokuwa imeniijia mara moja wakati huo ni kuwa huenda wanashiriki kusambaza madawa ya kulevya kutoka Central/South Amerika. Lakini mmoja wa wenyeji wangu akasema kuwa watanzania wa Houston wana njia nyingi za haramu ikiwa ni pamoja na kuiba cheki za makampuni wanamofanyia kazi, kupitisha madai ya uwongo insurance, na wakati mwingine kuiba bidhaa kutoka kwa waajiri wao na kuziua kama machinga vile. Baada ya miezi minne tu hivi nikasikia wamekamatwa ingawa somebody Lauwo ambaye inasemekana alikuwa smart kuliko hao wengine alifanikiwa kutoroka alipoona upepo unaaza kugeka.
Unfortunately kuna watanzania wengi sana huko Ughaibuni wanajishghulisha na mambo ya wizi wa kujipatia hela ya haraka haraka. Matatizo ya wengi wao wakishazipata wanakuwa watambaji sana wenye matumizi ya kukithiri. Ninafahamu Mkenya mmoja aliyekuwa mwizi pia wa pesa za kodi (IRS) lakini alipokamwata alikuwa ameshakuwa tajiri kweli kweli akiwa na mapartment yake binafsi pamoja na majumba ya kupangisha mengi tu. Sielewi mali zake hizo zilifanyiwa nini lakisi sidhani kama alifilisiwa zote, nadhani alifungwa na kutakiwa kulipa kodi alizoiba pamoja na interest, kwa hiyo mali nyingine zilizobaki akaendelea kuwa nazo.