huyu bwana alikuwa na ushamba wa kibongo.. make mambo aliyoyafanya mpaka ifikie kukamatwa yalikuwa ya kitoto mno. kanunua Jaguar mpya mbili kwa mpigo hafafu katangaza kwenye website.. kuonyesha picha za hizo gari. FBI kwanini wasianze kumfatilia, kazi yake haiweze kumpa pesa ya kununua hizo gari. halafu hajachukua mkopo sehemu yoyote.
wakamuwekeya mtego kidogo kanaswa na kundi lake lote.. Ulimbukeni wa kibongo.. wanapofika majuu.nakujifanya wenyeji.
ndo hicho kilicho mwingiza lupango wazee..
Ila kama karudi basi ashukuru mungu sisi bado tunaendelea kubeba boxes.