Oh!ametenda tena muujiza

Oh!ametenda tena muujiza

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
Mlevi mmoja alikuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa na pia akiwa na chupa ya whisky mkononi.wakati akiendesha katika barabara fulani askari usalama alimsimamisha na kuanza kumhoji kama ifuatavyo:-

Askari>>kwa nini unakunywa pombe wakati unaendesha gari

Mlevi>>hii siyo pombe ni maji tu

Askari>>lete niyaonje kama kweli ni maji

Mlevi>>chukua tu endelea

Askari>>akaonja na kuguna,hii ni pombe tena kali sana

Mlevi>>he mungu ni mkubwa,ametenda tena.kama alivyotenda muujiza kana ya galilaya,amebadilisha maji kuwa pombe!huu ni muujiza
 
Kama mimi ndo asikari namwambia haya ondoka, halafu naendelea kugida kilaji
 
Huu ni udhalilishaji wa kidini na siyo joke, SAY NO TO ANY DISCRIMINATION
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom