Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Sasa bwana mdogo unapozungumzia kombi dhaifu unaongea kwa fikra ambazo ni yakinifu au?
Inamaana kama lengo la mtu ni kuwa mwanasheria basi akisoma HKL au HGL atakuwa mwanasheria tena yule ambaye ni dhaifu. Si ndio?

jamani ana maana ya combination yenye masomo yenye maarifa mengi zaidi. Aliyesoma K na G kwenye combi yenye HL, hawafanani kabisa kimtazamo. Geography na Kiswahili pimeni.
 
Sijaelewa kuwa hizo combinations ni dhaifu kwa vigezo vipi.
 
 
Serkali ikifanya hiv basi watakua wameniokoa na mimi sababu nina div 3 yenye credit mbili yani BiO-B na chem C alafu masomo mengine yote nina D.

Mulugo tusaidie jamani wengine tuna uwezo tu sema basi tu maisha..​


huyo ni wewe au ni mtu mwingine??? kama ni masomo dhaifu mbona umelamba D yote?? FIKIRI KABLA YA KUTENDA..
 

Aliyekwambia combination inazaa faculty ndio kakuuza, jifunze kuvijua vitu kabla hujaviongelea, otherwise utaishia kuumbuka kama hivi
 
jamani ana maana ya combination yenye masomo yenye maarifa mengi zaidi. Aliyesoma K na G kwenye combi yenye HL, hawafanani kabisa kimtazamo. Geography na Kiswahili pimeni.

Are you of the same opinion...!??
 
Are you of the same opinion...!??
Of course, hizo combi sharti ufike kileleni kabisa ndio utaambulia kitu. vinginevyo unaanza upya kusoma. Si tuna waona na hivi masomo yake hayaitaji Laboratory, umekuwa mradi wa waanzisha shule za A level, mitaani wako bwerere kuanzia wa division II na mambo ya Bodi ya Mkopo. Baba V, ulioni hili? Ni kazi kwelikweli.
 
Last edited by a moderator:
Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.

Combination ngumu na rahisi unazipima kwa vigezo gani???? ugonjwa ulionao ndio wengi wanaumwa huko mashuleni na mitaani "kusoma kwa interest na sio vision & determination" Ujinga wako unapimwa kwa litres!!!!! Jipange bwamdogo
 

Mwanzo ungeandika hivi unge eleweka lakini ulicho anza nacho ni matope, wewe kubali tu ni kichwa maji tutaamini makosa si yako ila ni mfumo wa sasa usio na mitaala.
 
jamani ana maana ya combination yenye masomo yenye maarifa mengi zaidi. Aliyesoma K na G kwenye combi yenye HL, hawafanani kabisa kimtazamo. Geography na Kiswahili pimeni.

We ndo hujamuelewa kabisa
 
Kwahiyo mkuu na sisi tuliopiga HGE ni vilaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…