Yaani sikutegemea kama utafanya ulichofanya alafu kwa vimaneno vya kuhisiMange Kimambi amekuja kwa jina la Penny humu JF....!!?
uandishi wake huwa unaniacha na VICHEKO....![]()
![]()
sanaaaa...mbavu zinaumaaaa....
![]()
![]()
![]()
K yangu haiuzwiHahahaah "Men must provide" my fooot, naona unatoa excuse mubashara ya kuuza *k* Money Penny
Ai weweee tupe msaada wakonapita nitarudi
Umeona ee me sijakubagua kuna dogo janja alikubagua hapo kwa commentZambi za kutubagua sisi wanaume maskini zinawatafuna.
Kama nilivyosema wanaume kazi yenu ni KUTOOOO AAAAAAscenario nyingi sana zilikuwaga ni kuhusu wanawake matapeli mlikuwa mnatutapeli sana...lakini bora sasa hivi equation imeanza kubalance .. Tutaenda sawa
Amen brotherMmmh God forbid it.
Me naongelea madem ambao hawana kazi mnataka kutunyonya very bad jamanUkute dem anakazi yake tena anakuzidi mpunga bt shoo zote unasimamia wew.. Duuh mambo yamebadilika hata wew utoeee twende sawaa... Tunagawana bills
Ivi unajua kweli maana ya usaidizi bro?!yeah..mwanamme atafanya yote hayo na ndio uanaume ila si sawa..kama mkeo ana kipato atoe usaidizi wake pale nyumbani..faham nilikuelewa vyema kabisa na si uungwana kwa yeyote yule..awe mwanamume kamwibia mwanamke,au mwanamke kamwibia mwanamme hamna linalokubarika...
Yes kubwa kulikoEti kumuomba mwananke pesa ni kosa kubwa sana **** youu
We haujakutana na manunda kama Money Penny na marafkizako80% ya papuchi zote nilizokula ni kwa njia ya utapeli....yaani uongo, usaliti na kila aina ya ulaghai, na mpaka sasa naendelea na formula yangu, na kila anayenigundua anakuwa kachelewa tiyari hivo mzigo naendelea kujilia maana hakuna namna tena......kuna nyumbu flani nilimdanganya nachezea AZAM fc, nkajilia mzigo kiulainiii
Hasa kama hauna helaKutoa napo k
Mahari ya mil 2 ikalipie mil 15? UuuwiiiAJIPOZE NA MAHARI TU MAANA HAKUNA NAMNA
Lazima watu waambiwe ukweli wanaleta ujinga kwenye maisha ya watuKhaaa una maneno jamani Dada Penny wewe...kabila gani iviila unaumizaga wa2 acha tu wanaogopa makavu
![]()
Hahahah baridaa mwanaasaf sana kwa burudan tamu ya malebo
K yangu haiuzwi
Chema chajiuza bruh
Sipokei free pumbu by the way
Poyeee
U sound thirsty to meKama ww wauza *k*, others give me 4 free, mm kila wiki natongoza madem wapya.. so I'm not thirsty enough to pay 4 a pussy, kama dem anaona mm mbahil sana she can go to hell, Money Penny
hivyo mwanamke anapozaa na kulea anamsaidia mwanamme?haya basi...nimekuelewa sasa..Me naongelea madem ambao hawana kazi mnataka kutunyonya very bad jaman
Ivi unajua kweli maana ya usaidizi bro?!
Usaidizi kwa akina mama aliouweka Mungu ni kuzaaa na kulea watoto na kuwafundisha sheria zote za maisha na dini
Upo hapo?!
Lakini kwasababu ya manyanyaso ya wanaume zaman wakati akina mama walikuwa wakikaa ndani ndio maana wakaamua wakasome ili nao wakae kazini wafanye kazi zoooote za kiume na kike lakini Mungu haku design mwanamke akahangaike alete mkate yeye ni kulea na kuzaa tu
Sasa unaposema 50/50 unashangaza
Mkeo kukusaidia ni uamuzi wake mwenyewe hailazimishwi na anaweza akakaa ndani vile vile asifanye kazi kwani utamfanyaje?!
Kazi ya mwanamke sio kuleta mkate ni kuzaa na kulea
We kama unaona wanawake wanafaidi basi naomba uje utusaidie kuzaa na kulea ili ututhamini sio kujibalaguza tu huku jf wakati ukweli unaujua