Ogopa wanaume matapeli

Ogopa wanaume matapeli

Wewe penny kila post unayoweka, ni ya mashoti walikuletea... Mada zako ni za malalamiko ya rafiki zako tyuuu.. Hizo za kwako tutazijua lini? Na kwanini wakikuletea tu, wewe alfajiri umedamka kuziweka jf, ndivyo wanavyotaka hao wenzako? Nna mashaka na habari zako...
 
na unaweza kuwa chizi ghafla yote hiyo ni kumwamini mtu pole yake sana
Ogopa matapeli

Mange Kimambi amekuja kwa jina la Penny humu JF....!!?

uandishi wake huwa unaniacha na VICHEKO.... sanaaaa...mbavu zinaumaaaa....
We me sio Mange plz

Me ni wengi sana lakini wanaume ni wachaaaaaaache mno siku hizi.
Wanaume wakiwa wachache ndio wageuke matapeli au?

Pole yake..!! Ila wakuu mbona hata nyie mnatuibiaga tukiwa tumelala kweny magest,lodge,hotel..tena pesa nyingi tu..na hizi case za wanaume kuibiwa ni nyingi kuliko wanawake kuibiwa..so its a win win situation..!
Dah kwaiyo wanaume wamegeuka matapeli wa kujitolea sio ili kulipiza kisasi?!
 
Hiyo mbona kawaida tu hata mm niliwahi kula school fees ya dada flani,nilimnunulia chai wiki nzima baadae nilimkopa laki tatu sikuwah kumuona tena toka 2014
Kha! We ni jambazi sasa au umeajiriwa?! Maana ujambazi nao unaanza pole pole

Yani kama manati vile umeivuuuuuuutaaaa ulipoiachia ndege wa watu chini

Shindwa
 
Nimesoma vizuri tu,sema mda mwingine ili kupunguza ukali wa tatizo huwa mnabambikia wenzenu kumbe ni yenu.
We ukitaka maisha yangu subiria kitabu changu utasoma kila kitu kuhusu mimi sada hivi siwezi andika kitu bro bado mapema sana
 
Wewe penny kila post unayoweka, ni ya mashoti walikuletea... Mada zako ni za malalamiko ya rafiki zako tyuuu.. Hizo za kwako tutazijua lini? Na kwanini wakikuletea tu, wewe alfajiri umedamka kuziweka jf, ndivyo wanavyotaka hao wenzako? Nna mashaka na habari zako...
Ndio je wanataka sana
Maana matapeli wengine mpo huku

Me niandike nini labda mke wa mtu nishazeeka nina watoto wakubwa wako chuo mwaka wa mwisho wengine wameajiriwa

Ukitaka kunifaham subiria kitabu bro! Otherwise go with the flow kununa haisaidii

Au na wewe inakuhusu?
 
Kaaa ndefu iyoooo... Ht sisomi, M mtansimulia
 
Back
Top Bottom