Msomali_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 538
- 585
Tudanganye positively sio kutubabua kha!
na kweli...kuna tofauti kubwa sana kati ya uongo na utapeli
Tudanganye positively sio kutubabua kha!
na kweli...kuna tofauti kubwa sana kati ya uongo na utapeli
Uuuuwi i wish bro i wishUnamzidi Shigongo
Mmmh lakini matapeli wa kike ni wachache kulinganisha na wanaumeKuna baadhi ya wanawake matapeli pia wanaweza kuua hata mtu wao wa karibu au kujifanya wana ujauzito kwa kutegemea kufanya mavuno. Abiria chunga mzigo wako!
Natokomeaje labda?!Na mim mwanaume nikikupa 20 mil ufanyie mambo yako,ukatokomea nayo we utakua nani sasa
Wenzio wamesoma na wanacomment page ya 2 sasaNdefu
Hakuna cha mteremko hapo broMkome kupenda mteremko!
Kama hausomi haina haja ya ku comment bro unajaza thread bure sie tunataka ushirikiano wa kweli sio lawamaKaaa ndefu iyoooo... Ht sisomi, M mtansimulia![]()
Meona eena kweli...kuna tofauti kubwa sana kati ya uongo na utapeli
![]()
Nakuzingua we, nltak 2 uniquote tyu bas we mrembo... unankoshajeeHakuna cha mteremko hapo bro
Naona umesoma kwa juu juu kasome upya utaelewaaa
Kama hausomi haina haja ya ku comment bro unajaza thread bure sie tunataka ushirikiano wa kweli sio lawama
Meona ee
Hakuna mwanaume bora bila kumtengeneza, mnapenda sana finished goods! Sisi wanaume wa ukweli mnatuacha kisa hatuna pesa..!Hakuna cha mteremko hapo bro
Naona umesoma kwa juu juu kasome upya utaelewaaa
Kama hausomi haina haja ya ku comment bro unajaza thread bure sie tunataka ushirikiano wa kweli sio lawama
Meona ee

Hahahah siku ya 3 bwana sio ya 2Kuna wanawake chicken heads sana....relationship siku mbili tu unaahidiwa kupewa 20m na wewe unaamini! Hivi mnaijua 20m nyinyi? Tena ya mfanyabiashara?! Labda, labda wale wezi wa kalamu ambao wengi sasa hivi wametumbuliwa na wanaisoma namba! Shubaaamiti!
Yes That bad!That bad..!
Ni kweli kabisaila pia jamani hawa matapeli naamini huwa wanatumia uchawi WA kufunga watu akili/ufahamu...coz i hav my frend pia alipata msichana mpaka akalipa mahari in Cash coz walisema hawataki ng'ombe,si jamaa masaai akauza ngo'mbe zake akawapa cash...then baada ya wiki msichana akamwambia Niko zangu Mwanza nasoma labda tuoane mwakani....na kuanzia apo ndio hakupatikana tena pamoja na wazazi feki hawapatikani![]()
![]()
![]()
![]()
Liken i said... wanaume unfinished mkiwa finished hamshikikiiiiiHakuna mwanaume bora bila kumtengeneza, mnapenda sana finished goods! Sisi wanaume wa ukweli mnatuacha kisa hatuna pesa..!
AsanteNakuzingua we, nltak 2 uniquote tyu bas we mrembo... unankoshajee
Mimi Msukuma.Ni kweli kabisa
Wanatumia dawa hapo nilisahau kuandika
Hasa wanaume hawa wanaojitambulisha me msukumaaa
Yani akisema tu msukumaaa kimbiaaaaaa maaana wana dawa balaaaa
Uuuwi nakimbiiiiiiaaaaaa!
kwa jinsi maisha yalivyonipiga, nikipata **** lenye pesa ntapiga miziga tu...(namaanisha ntaomba msaada)Yes That bad!
Ahahahahha
Marioo na kuomba wanawake hela kiru
