Ogopa wanaume matapeli

Ogopa wanaume matapeli

Ni kweli kabisa
Wanatumia dawa hapo nilisahau kuandika
Hasa wanaume hawa wanaojitambulisha me msukumaaa
Yani akisema tu msukumaaa kimbiaaaaaa maaana wana dawa balaaaa
Ngoja waje wahusika WA nchini Chato waje wakutolee Povu.....
 
kazi ya mwanamme kutoaaaaa....mpaka lini?..ulimwengu wa sasa sio ule wa mwanamme kuwa anaprovide peke yake katika ndoa..maana siku hizi mwanamme na mwanamke wanapata haki sawa..wanawake wamepata ajira kwani pesa zao za kazi gani?..hivyo mm kama mwanamme niwe natoaaa hela za matumizi ya nyumbani,nakupa wewe hela ya matumizi yako binafsi,nalipia wanangu school fees,nalipa mishahara ya wasaidizi wa pale nyumbani........we kazi yako kufanya nn wakati shugli zote za kinyumbani zinaendeshwa na househelp????kisha unambia "wewe mwanaume kazi kutoaaa"...
 
Naomba niwakumbushe wanaume kuwa, kazi ya mwanaume mileleeee mpaka anarudi kaburini na mavumbini ni ku-provide! Kutoaaaa! Yani wewe Mungu amekuweka duniani ukishapata akili we kazi yako ni kutoooaaa!

Kama hautaki basi tukuchabgie uende marekani tkaukubadilishe jinsia usubirie kuleta viumbe duniani, lkn kama hautaki kazi za kike toaaaaa! Proviiiiideeeee!

Usitulalamikie wanawake, sisi mbona hatuwalalamikii tunazaaa tunaleeeaaa tunawapa sheria watoto wanakuaaaa wanaoaaa wanazaaa tunapata wajukuu

Ila mwanaume anapokuwa Marioo au yahaya ndio inatia hasira na kuchoshaaaa ..

Na ni tabia mbaaayaaa sana kumwomba mwanamke hela mbayaaa yani ni sawa na kumlala mama mkwe wako uliemuolewa mtoto wake wa kike... that bad!

Last week nikiwa ofisini akanifuata mfantakazi mwenzangu, Penny Penny kuna kitu nataka tuongee! Yani sikuhizi
wamefufuka mashetani sijawahi kuona

April 2017 nilikutana na kaka m1 kwenye traffic lights za Posta natokea CBE, akanichangamkia nikamkazia, akachukua namba ya gari yangu akanipandia hewani sikujua amepata wap no yangu ya simu, tukawa tunawasiliana akaomba tuonane nikakaza, akaninyegeza nikakubalii, tukaonana maeneo salamaa

Tukaingia kwenye mahusiano bwana, mubashara kabisa, siku ya 1 ... 2... 3 lkn most of the time tukionana ananishika shika, mara nyonyo mara chiu yani very rude.. akaniuliza unafanya kazi wap nikamwambia sina, natafutaaa
Akaanza mashauzi ntakutafutiaaa, au nikufungulie biashara?! Unataka kufanya biashara gan?! Nikamwambia ya msosi, akasema atanipa mil 20 nipige tu mahesabu ila uwezo wake mil 20, kumbe hamna kitu yahaya mtupu!

Tulipotaka ku-du nikamwambia nipo kwa period, akanipotezeaaa, kesho yake nikamdanganya unajua me bikra?! Akasema eee basi hamna shida ukimaliza MP ntakutafutaa, ndio ikawa mwisho wa kuonana na hilo jinamizi

2 weeks ago namkuta yupo na dada m1 kempinski wanakula lunch mubashara kabisa ila hakuniona mimi, baada ya msosi wakaenda kwenye gari ya demu alikuwa anaendesha discovery 4 tinted, wakakaa huko ndani ya gari lisaa 1

Leo nakutana na mdogowake class mate wangu tukasalimiana namwuliza dadako hajambo?! Akaniambia we acha tu Pennt, rafkiako kawa kichaa?!

Money Penny: kivipi tena?!

Dogo: Matapeli matapeli da Penny wamemfanya dadangu awe kichaaa!

Dadaangu alipata bwana kwenye ndege anaelekea china kuchukua mzigo si unajua mwenzio anafanya biashara skuhiz

Money Penny: ndio najua, enhe!

Dogo: huyo Bwana sasa akajilengesha wakapeana contacts, wakaanza mapenzi aliporudi bongo, ilikuwa mwaka 2016, kufika Sept 2016 jamaa akamkopa sista laki 5 ntarudisha akapewa akarudishaaa

Oct 2016 akakopa mil 1 akapewa na sista akarudisha on time

Nov 2016 akakopa mil 5 akapewa na sista akarudishaa on time

Dec 2016 akamkopa mil 8 akafanya yake akarudisha

Jan 2017 akaja kutoa maharii mahari ikapokelewaa gadamit, dada akajua hapa naolewaaa lile jamaa likaja likamkopa mil 15 sista akampaje sasa, maana alimwaminisha hakuna mfano kwake kamwonyesha gari kamnunulia akajua mume ndo huyuu Mungu kanionekaniaaa nyoooo!

Kuja kushtuka muda wa mrejesho wa mil 15 jamaa hapatikani kwenye simu, kumcheki home kwake akaambiwa haishi pale alipanga kwa muda wa wiki 2, sista akachokaa! Siku anazunguka na ile gari akasimamishwa na traffic, akaambiwa sista hii gari imeibiwaa akawekwa ndani tukamtoa kwa dhamana ya mil 3 ktk kuhojiwa hojiwa mapolisi wakamwambia huyu muhusika twamjuaaa, ni jambazi sugu, limekubuhu, linatafutwaaa dada... we fanya kusamehe kama amekupiga samehe sie mapolisi tumemshindwaaa!

Sista akalia mpaka akawa kichaa hapa nakwambia Penny sista amekuwa nusu kichaa nusu tunaee

Money Penny: nikachokaaa!

jaman nyie wanaume kwan mmekuwaje lkn? Ivi hawa majesusi, wametokea wap tenaa ule wizi wa miaka ya 70 unerudi 2017? mshindwe na mlegee kwa jina la Bwana! Inabidi tuwaombee maombi ya mauti tu maana kama serikali imewashindwa nani atawaweza?!

Ndio mnajijua kama ni wewe tapeli unasoma ushindwe kwa jina la Yesu!
Nimenunaaa kwa niabaaa ya wanawake wenzanguu!

Na nyie wanaume mnaotongoza wanawake kwenye mataa mnaboaa sijawasikia leo ivoo hapa naandaa stori kwa ajili yenu, tutawafungia vioo mpaka mwisho stupeeed!

Wanawake wenzangu muwe waangalifu Dar ishaharibika ilo shetani la miaka 70 - 80 lishindwee!

Sijasoma posti yako kwa sababu nilipoona umemweka Munisi fasta nikafungua ili niburudike, safi sana kwa muziki huu wa zilipendwa. Lakini huo nao ni uroho wa tamaa ya mwili nyie wadada. Mtu humjui, anakutokea unakubali, anakudanganya kuwa ana vitu vikubwa vya thamani nawe unalegea. Hujiulizi wangapi kawada ganya na kuwabutua kwa utapeli? Au kwa sababu huwa wamejipaka poda, kunyoa oooo, tai kubwa, pafume ya kujibana, pochi uchwara kubwa, suruali modal, simu tatu kubwa za mchina, fake gold shingoni, funguo bunda za gari fake, na viatu spesho vya mchina na wakitembea wanatikisa na kunyonga viuno kama wapo Miss Bantu Context? Kwanini msiwe wagumu kama enzi zetu mpaka ukubaliwe ni msoto wa nguvu? Haina jinsi, mtadanganywa sana na matapeli wa mapenzi watawashughulikia, ukija gundua kuwa uliyempa siye itakua too late na itakuwa siri yako. Huna hata aibu kutueleza kuwa alikushikashika tu ila hamkufanya chochote, mnapenda watu wanaoigiza kuwa wana fedha na maisha safi, wakati wenye mali au fedha za kumwaga hawajitangazi. Siku nyingine tafakari na chukua hatua wewe.
 
kazi ya mwanamme kutoaaaaa....mpaka lini?..ulimwengu wa sasa sio ule wa mwanamme kuwa anaprovide peke yake katika ndoa..maana siku hizi mwanamme na mwanamke wanapata haki sawa..wanawake wamepata ajira kwani pesa zao za kazi gani?..hivyo mm kama mwanamme niwe natoaaa hela za matumizi ya nyumbani,nakupa wewe hela ya matumizi yako binafsi,nalipia wanangu school fees,nalipa mishahara ya wasaidizi wa pale nyumbani........we kazi yako kufanya nn wakati shugli zote za kinyumbani zinaendeshwa na househelp????kisha unambia "wewe mwanaume kazi kutoaaa"...
Bro me nimeongelea wasio na ndoa jamaaa
Pia hata ukiwa kwenye ndoa mjombaa kwani ukitoa kuna shida gan labda?
We si mwanaume
Mwanaume wa ukweli mwenye hadhi zake na anae jielewa hata kama haki sawa bro hatofanya hayp ulioongea
Ni njaa tu za kibongo zinawafanya mkomae haki sawa haki sawa
Me najua wana ndoa wamoja wote wanafanya kazi lakini mwanaume ana provide kila kitu kwa mkewe na watoto na maids afu mshahara wa mke unasimama
Njaa hizi nazo mbaya kiru
 
Ngoja waje wahusika WA nchini Chato waje wakutolee Povu.....
Uuuwi ni sheedah

Wewe Money wewe, njoo kwangu tu
Aka staki

Sijasoma posti yako kwa sababu nilipoona umemweka Munisi fasta nikafungua ili niburudike, safi sana kwa muziki huu wa zilipendwa. Lakini huo nao ni uroho wa tamaa ya mwili nyie wadada. Mtu humjui, anakutokea unakubali, anakudanganya kuwa ana vitu vikubwa vya thamani nawe unalegea. Hujiulizi wangapi kawada ganya na kuwabutua kwa utapeli? Au kwa sababu huwa wamejipaka poda, kunyoa oooo, tai kubwa, pafume ya kujibana, pochi uchwara kubwa, suruali modal, simu tatu kubwa za mchina, fake gold shingoni, funguo bunda za gari fake, na viatu spesho vya mchina na wakitembea wanatikisa na kunyonga viuno kama wapo Miss Bantu Context? Kwanini msiwe wagumu kama enzi zetu mpaka ukubaliwe ni msoto wa nguvu? Haina jinsi, mtadanganywa sana na matapeli wa mapenzi watawashughulikia, ukija gundua kuwa uliyempa siye itakua too late na itakuwa siri yako. Huna hata aibu kutueleza kuwa alikushikashika tu ila hamkufanya chochote, mnapenda watu wanaoigiza kuwa wana fedha na maisha safi, wakati wenye mali au fedha za kumwaga hawajitangazi. Siku nyingine tafakari na chukua hatua wewe.
Bro povu vepee au na wewe ni mmoja wapo?!
Rudia kusoma tena waya naona umedandia gari kwa mbele wala haujui unachoongea nenda kasome tena afu uje ujione ulivyoandika ujicheke
 
Unalizwaje labda?!
Unabebeshwa mimba au?!
Kazi yako ni kutooooaaaaaaa
Kama vile Rais alisema KAAAAA TAAAA

Money Penny nasema TOOOOOO AAAAAA
Ukute dem anakazi yake tena anakuzidi mpunga bt shoo zote unasimamia wew.. Duuh mambo yamebadilika hata wew utoeee twende sawaa... Tunagawana bills
 
Bro me nimeongelea wasio na ndoa jamaaa
Pia hata ukiwa kwenye ndoa mjombaa kwani ukitoa kuna shida gan labda?
We si mwanaume
Mwanaume wa ukweli mwenye hadhi zake na anae jielewa hata kama haki sawa bro hatofanya hayp ulioongea
Ni njaa tu za kibongo zinawafanya mkomae haki sawa haki sawa
Me najua wana ndoa wamoja wote wanafanya kazi lakini mwanaume ana provide kila kitu kwa mkewe na watoto na maids afu mshahara wa mke unasimama
Njaa hizi nazo mbaya kiru
yeah..mwanamme atafanya yote hayo na ndio uanaume ila si sawa..kama mkeo ana kipato atoe usaidizi wake pale nyumbani..faham nilikuelewa vyema kabisa na si uungwana kwa yeyote yule..awe mwanamume kamwibia mwanamke,au mwanamke kamwibia mwanamme hamna linalokubarika...
 
80% ya papuchi zote nilizokula ni kwa njia ya utapeli....yaani uongo, usaliti na kila aina ya ulaghai, na mpaka sasa naendelea na formula yangu, na kila anayenigundua anakuwa kachelewa tiyari hivo mzigo naendelea kujilia maana hakuna namna tena......kuna nyumbu flani nilimdanganya nachezea AZAM fc, nkajilia mzigo kiulainiii
 
Unalizwaje labda?!
Unabebeshwa mimba au?!
Kazi yako ni kutooooaaaaaaa
Kama vile Rais alisema KAAAAA TAAAA

Money Penny nasema TOOOOOO AAAAAA
Khaaa una maneno jamani Dada Penny wewe...kabila gani ivi ila unaumizaga wa2 acha tu wanaogopa makavu
 
Back
Top Bottom