Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #121
Povu vepee?!Mkome.mnarukaruka ovyo kama samaki wanaodandia vyambo. Kila mkiona suruali vinena vinawacheza hyky mkichungulia mifuko ya nyuma ilivyotuna.Mtaendelea tu kugongwa hata mjihadhari vipi.We mume unakutana naye siku moja anakuhaidi 20 m hujiulizi mara mbili?
Nikafulie pichu yangu au?!