Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
1. Ambaye mara nyingi anazima simu
2. Ambaye mara nyingi hapokei simu
3. Ambaye simu yake siku zote ina matatizo
4. Ambaye anabadili sana line za simu
5. Humpati mpaka akutafte yeye kwenye simu
6. Akiwa na wenzie ni mcheshi ila akiwa na wewe ni mkimya sana
7. Ana upole wa kinafki
Well, kwa sisi ambao tumeajiri watu na pia tunaji-engage kwenye biashara ukiona mtu ana tabia hizo au kuna mazingira hayo katika mtu unayetaka kufanya nae biashara au kumwajiri kimbia haraka ikiwezekana mtukane kabla hata hamjafika kokote.
Yaani hata kama hajakufanya chochote mporomoshee matusi hadi aseme nimefanyaje? Akikushitaki poa tu maana utakuwa umejiepusha na hasara.
Mimi siku hizi sicheki na nyani, nikiona dalili hizi aisee kaa mbali nami.
Nawaelewa sasa wahindi kwanini wanachukiwa sana na waswahili. Mswahili ni mtu mshenzi sana. Na nitaendelea kuwakaanga vilivyo
Sasa naelewa why utasikia “boss yule ana roho mbaya”.
Nimetoka mfanya mtu kitu mbaya muda si mrefu na hatoki mpaka wiki ijayo!