Ogopa Sana Mungu na technology

Kuna shehe kaingia na majini kanisani huku..
Hilo sio kanisa kanisa halizinduliwi na Wanasiasa ni machinjio ya ng'ombe ndio maana Shekhe anawaambia waache mtu awakate vichwa vyao
 
Sawa nyumbu, Lete na ile ya kina lissu wakimsema lowassa kuwa ni fisadi kabla hawajamkaribisha chamani kugombea uraisi.
Sawa ng'ombe wa mama lete na ile Msukuma na Magufuli walimsema Lowassa amejinyea halafu wakamkaribisha kurudi tena chamani na kijana wake wakamzawadia ubunge.
 
Mpaka sasa ukimwambia mwenye kete ili awe raisi anatakiwa kuwa mkristo kwanza ..........si Dhani kama anaweza kubisha.........kweli YESU NI JIBU
 
Ndio maana😪 na kupandishwa cheo sahau katibu kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…