Dooh wanainajisi sana dini kwa njaa na kujipendekeza kwa Watawala. Hivi hawajui kuwa gwaride huwa linageuka?
Gwajima kuzungumza ukweli Kanisani akaonekana anachanganya dini na Siasa
Huyu naye anafanya nini hapo Kanisani?
Mwogopeni Mungu Watawala pamoja na Viongozi mnaotumika kwa maslahi ya Watawala.