Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

Kweli kama hujaelewa usikurupuke kujibu utaonekana zuzu we soma comments ndio utajua zaid ..big up mleta mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua Niko vizuri sana kuelewa lugha iliyojificha.lakini hii mada niliisoma juu juu sikuitilia kabisa.sasa nimemsoma mleta uzi
 
atakuwa anazungumzia kipasa sauti ya bunge
 
Kabisa mtoa mada, bora hata spika za mtungi za awali tulikuwa na hakika chanzo mdundo, haya mambo ya remote hayafai kabisa,hata mdundo wa spika ni feki na dhaifu haueleweki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kbs kifaa hichi usiombe hakijali kama we ni bosi wake utashngaa mwenyewe kikichomekewa na mtu mwingine hata kama ni movi ya pilau unashangaa msauti wa ajabu unatokezea kule Dj chaliiiii Homgera ssna kwa kutuletea hichi kifaa siku hizi kinatumika sana kuwakomesha watu.... nimeona leo kimenasa mawimbi ya Piere
 
Kwa hiyo unamaanisha hizi Spika za siku hizi ni Brainless? Yaani hazina ubongo, zinategemea ubongo kutoka katika chanzo kingine! Mkuu utakua unatumiwa na mabeberu kukwamisha juhudi za mtukufu.
 

Unatisha na nimekusoma! Ni kweli midundo ni ya magogoni ingawa tunasikia kutoka Dodoma.
 
Fasihi nzito sana. Kaka Edo Kumwembe natumai amekusoma vizuri sana.
 
Spika mstaafu wa awamu ya nne tuondelee aibu hii, mpatie japo ushauri wa bure kwa simu tu

sayonara
 
Wireless pia ni subject kwenye mada!!
Ndiko nilikotoholea hoja yangu.
Sasa ujue kwamba kwa umbali uliopo kati ya Dodoma ma Dar teknolojia za Bluetooth na WiFi haziwezi kufanya kazi kwa kuifanya wireless speaker ifanye kazi.
 
Dahh! Watanzania wengine bwana!! Mkuu, naona Umesahau kuwa huwezi kujiunga katika kifaa chenye Bluetooth bila ya "password"..hii theory uliyoliongea haiwezekani labda mtu aruhusu vifaa viwili vyenye BLUETOOTH au WIFI viwasiliane kwa kutumika namba za Siri (password)..

Acha kuongopea watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…