Hakuna technology ya wireless communication kutoka Dar mpaka Dodoma kwa speaker. Kwanza speakers za hivyo au WiFi au Bluetooth yenye nguvu namna huyo havipo.Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Wewe ni mgumu kuelewa.... Angalia mada ipo jukwaa ganiHakuna technology ya wireless communication kutoka Dar mpaka Dodoma kwa speaker. Kwanza speakers za hivyo au WiFi au Bluetooth yenye nguvu namna huyo havipo.
WiFi na Bluetooth havifanyi kazi hivyoInatumia satellite ku beem!!
Iko wazi sana mkuu, ina maana speaker wa bunge anafuata maagizo kutoka Dar!binafsi sijakuelewa mleta maada!
Kwani siku hizi satellite zinatumia waya?WiFi na Bluetooth havifanyi kazi hivyo
Pole sana kamanda. Jamaa katumia lugha ya fasihi (picha) kufikisha ujumbe. By the way sio LAZIMA uelewe kila thread!binafsi sijakuelewa mleta maada!
binafsi sijakuelewa mleta maada!
JF HOME OF GRAET THINKER! anamaanisha yanyofanyika mjengoni Dom ni maelekezo toka pale karibu na bahari ya HINDI ! NDIO MAANA YA SPIKA NA NA WIRELESSbinafsi sijakuelewa mleta maada!
Ndiyo maana nakipenda kiswahili na waswahili, wanajua kuonge kiswahili hata washamba wasijueKabisa mtoa mada, bora hata spika za mtungi za awali tulikuwa na hakika chanzo mdundo, haya mambo ya remote hayafai kabisa,hata mdundo wa spika ni feki na dhaifu haueleweki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mungu katuumba tofauti,wengine wanaelewa taritibu sanaHabari hizi zinakuja kwenye jukwaa la siasa!..kweli we manyonyoli
Maada ni kitu chochote chenye uzito, ujazo na kinachochukua nafasibinafsi sijakuelewa mleta maada!
Yaani wewe ndo umetoka kapa kabisa kwenye mada. Hii ni mada fikirishi... unganisha nukta. Hili ni jukwaa la siasaYou can't connect one device in two connections. Hasa wireless speakers or headphones, but inaweza kuwa destructionnetwork nyengine, ikiwa itakuwa so close.
Usipende kuchangia mada ambayo hujaielewa. Utaonekana zuzu.Hakuna technology ya wireless communication kutoka Dar mpaka Dodoma kwa speaker. Kwanza speakers za hivyo au WiFi au Bluetooth yenye nguvu namna huyo havipo.