Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Habalini Wanajanvi.

Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.

Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.

Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.

Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.

Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.

Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
 
Unanikumbusha mwaka flani nkiwa Dom nina TV yangu ya Samsung flat ina program ya FM TRANSIMITTER so nlikua naset nasikilizia mziki kwenye redio.

Sa si unajua kuna siku mejisahau meweka nyimbo kwenye redio nachek zangu "Blue" kwenye TV kumbe kuna jirani anatafuta frequency ya redio yake, si akanasa masauti ya Gemu akawa anajiuliza hio ni redio gani mara akaanza kuwaita majirani waje kusikiliza hio redio na mimi nikatoka kwenda kusikia nlijikausha nliporudi kwangu nikazima hicho kiprogram.

Kidogo niaibike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You just killed it bro!

ᴵᶠ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ʷᵃˢ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ̇ ⁻ ⁱᵗ ʷᵒᵘˡᵈ ᵇᵉ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Back
Top Bottom