Ogopa sana hii kabila

The Africanis is a landrace of South African dogs. It is believed to be of ancient origin, directly descended from hounds and pariah dogs of ancient Africa, introduced into the Nile Valley from the Levant. The Swahili name for the breed is umbwa wa ki-shenzi meaning common or mongrel or “traditional dog”. Africanis is also an umbrella name for all the aboriginal dogs in southern Africa.
 
Thanks for the needful in kiswahili we say that asante sana and in Kisukuma language we say wabheja sana
 
Huyo ni mbwa koko... Na hapo kaufyata mkia akionesha kuwa anaogopa..

Reading between lines naona mtu mzima mshana jr kaamua kututolea uvivu wa tz kwa kuwa na woga kama kabila ya hoa mbwa koko... Sifa kubwa ya mbwa koko no kubweka kila anapomwona mwenyeji wa nyumbani kwake ila akitokea adui au mgeni yeye hukimbia na kuufyata mkia.

Kabila ya mbwa koko... Ogopa sana.
 
unakaribia kuhitimu kozi ya uchochezi but who cares anyway! May be the almighty bob
 

Sijui kama kuna ujumbe wa picha kutoka kwa mshana jr, Ila kama hakuna nahisi hilo kabila wanaliita greyhound. Ni aina ya mbwa wanaotumika kwenye mashindano ya mbio. Kwa wanyama yeye ni wa pili kwa mbio
 
Waarabu huku Dubai wanawatumia sana kuwindia sungura maeneo ya nusu jangwa!
 

Sijui kama kuna ujumbe wa picha kutoka kwa mshana jr, Ila kama hakuna nahisi hilo kabila wanaliita greyhound. Ni aina ya mbwa wanaotumika kwenye mashindano ya mbio. Kwa wanyama yeye ni wa pili kwa mbio

Sasa Kama ye ni wa Pili kwa mbio wakwanza ni yupi?au nae kwa upande wa wanyama wenye speed kali atakuwa ana julikana wa pili tu halafu kwa kwanza asijulikane kama "niki wa pili" Maana sijamsikia niki wa kwanza.
 

Africanis 12. Richmond, Northern Cape, April 4, 2009. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 23. Richmond, Northern Cape, Jan. 28, 2009. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 19. Graaff-Reinet, Eastern Cape, May 15, 2010. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 18. Murraysburg, Western Cape, May 10, 2010. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 8. Barkly East, Eastern Cape, July 5, 2008. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 2. Strydenburg, April 1, 2008. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 20. Petrusville, Northern Cape, April 19, 2011. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 11. Murraysburg, Western Cape, Feb. 4, 2009. (Photo by Daniel Naudé)

Africanis 21. Richmond, Northern Cape, April 17, 2011. (Photo by Daniel Naudé)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…