Kwa upande wangu mimi naona Joseph kabila ana haki kabisa ya kupambania heshima yake ndani ya nchi wasiolewa siasa za Kongo wanaweza kufikiri Joseph kabila amekosea sana.
Je, wangekuwa wao wangeweza kuvumilia dharau na manyanyaso yote ambayo alikuwa anapitia ndani ya nchi yetu. Nani ambaye alikuwa hajui kama Joseph kabila alihukumiwa kifo ndani ya nchi bila yeye kutokuwepo, hakupewa hata nafasi ya kujieleza au kujitetea.
Nani hakuona kilichofanyiwa familia yake kule kinshasa?
Nani hakuona walichokwenda kufanya kwenye kaburi la baba yake?
Felix na genge lake walinunua vikwanzo kwa marekani kwa kusaini mikataba mibovu na marekani ya madeni. Nani hakuona yaliyomtokea goma kipindi serekali ya felix ilitaka kumuua kwa kutumia droni?
Kama sababu ya kutumika na M23 hata UDPS walitumika na M23